Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Rais Samia Anaangaliwa na kutegemewa na Dunia nzima.ndio maana uliona hapo majuzi akialikwa kwa heshima kubwa kwenye mkutano wa G20
 
Mama ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania kuliongoza Taifa letu mpaka 2030.
 
Wapigaji wapo kazini kl kitu ruksa as long as unapaka mafuta Kwa mgongo chupa baaaasi umekula hasa ukiwa kwenye network yao
 
Udini,chuki binafsi,ubaguzi vitakuuwa mwaka huu.Mama ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania kuliongoza Taifa letu mpaka 2030.
Kabakiza miezi 10 arudi Kizimkazi alee wajukuu.
Mwambie afungashe virago,

2025 Rais Mwanaume Mkristu Mkatoliki πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bw.Lucas,nakushauri uitishe kura za maoni humu mitandaoni juu ya kukubalika kwa Mama Samia.
Utakuwa umewakata kidomo domo wanaokupinga juu ya hilo.
 
Chawa mnene.
 
Bw.Lucas,nakushauri uitishe kura za maoni humu mitandaoni juu ya kukubalika kwa Mama Samia.
Utakuwa umewakata kidomo domo wanaokupinga juu ya hilo.
Kura ni mwakani.kwa hiyo wewe jiandae na uwahi mapema kupiga kura na usubiri matokeo uone namna Rais Samia atakavyo pita na kuzoa kura zote za ndio zote kwa kishindo kikuu
 
Kwenye pol zote huwa anaongoza Magufuli Sasa Mama Abdu anapendwa na Nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…