Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Kwenye pol zote huwa anaongoza Magufuli Sasa Mama Abdu anapendwa na Nani ?
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, Ukweli huu hauwezi kupindishwa 🐒
 
Na Mungu alishatuambia kuwa tutawajua kwa Matendo yao mema kama ilivyo kwa Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Mama mwenye upendo, huruma,utu , uungwana,ukarimu na mwenye kugusa Maisha ya watanzania
Tuta.....mwenye kipimo ni Mungu pekee mimi sipo mkuu.
 
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, huwezi kupindishwa 🐒
Wala usihangaike naye huyo maana hata yeye anafahamu wazi kabisa kuwa kwa sasa Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa, kukubalika na kuungwa mkono sana hapa Nchini
 
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, huwezi kupindishwa 🐒
Hypochondriac.
 
Kaa kimya wewe, chama gani kinahujumu hata uchaguzi mdogo tu wa mitaa?
Shame!!
 
Mafisadi wabampenda sana kuliko ulivyoeleza.

Wananchi hawampendi na anachukuliwa as dalali anayrfisadi nchi kwa wageni
 
Uwe na kiasi ndugu...wanyiha nyie mnajifanya wanyenyekevu mpaka kuwa chawa wabaya...Mama Samia achana nae huyu
Nilioa kwenu Isansa , mna roho za kuzimu kabisa.
 
Uwe na kiasi ndugu...wanyiha nyie mnajifanya wanyenyekevu mpaka kuwa chawa wabaya...Mama Samia achana nae huyu
Nilioa kwenu Isansa , mna roho za kuzimu kabisa.
Embu acha ukabila wako hapa.kwani nani kakwambia naandika kwa niaba ya kabila langu? Unalifahamu kabila langu? Ulikwenda kuliuliza kama linamuwakilishi hapa jukwaani ? Mimi ni Mtanzania na sina habari za ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…