Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Kwenye pol zote huwa anaongoza Magufuli Sasa Mama Abdu anapendwa na Nani ?
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, Ukweli huu hauwezi kupindishwa 🐒
 
Na Mungu alishatuambia kuwa tutawajua kwa Matendo yao mema kama ilivyo kwa Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Mama mwenye upendo, huruma,utu , uungwana,ukarimu na mwenye kugusa Maisha ya watanzania
Tuta.....mwenye kipimo ni Mungu pekee mimi sipo mkuu.
 
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, huwezi kupindishwa 🐒
Wala usihangaike naye huyo maana hata yeye anafahamu wazi kabisa kuwa kwa sasa Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa, kukubalika na kuungwa mkono sana hapa Nchini
 
Tengeneza polls zaidi kadiri uwezavyo gentleman,

Lakini ukweli kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan is a darling president to all Tanzanian citizens,

and the most influential presidential candidate come 2025, huwezi kupindishwa 🐒
Hypochondriac.
 
Kaa kimya wewe, chama gani kinahujumu hata uchaguzi mdogo tu wa mitaa?
Shame!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna mwanadamu mmoja na Raia mmoja ambaye kwa sasa ndiye anayependwa , kukubalika,kuungwa mkono na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana hapa Nchini.Ndiye Binadamu ambaye asipoonekana hata kwa siku moja tu hadharani watu wanaanza kumtafuta kama Pesa.Ni kiongozi ambaye anapendwa na watu wa makundi yote na mwenye kuheshimika sana hapa Nchini.

Huyu ndiye kiongozi na Mtu ambaye maneno yake tu huwafanya wagonjwa waliolazwa wodini na mahospitalini kupata tabasamu na nafuu na kujihisi wamepona wamuonapo mbele ya nyuso zao .ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuwapa faraja watu wenye majeraha mioyoni mwao.ndiye kiongozi ambaye kwa sasa ameteka mioyo ya mamilioni ya watanzania. Ndiye kiongozi pekee mwenye uwezo wa kuzungumza na kusikilizwa na kuaminika na kuaminiwa kwa jambo lolote lile.

Ndiye kiongozi ambaye amebeba matumaini na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania mikononi mwake,ndiye kiongozi ambaye watu wote humtizama yeye kama nyota ya asubuhi kwa wavuvi.ndiye mtu ambaye watu wana imani ya kutimiza ndoto zao kupitia yeye.ndiye kiongozi ambaye amefanya mioyo na vifua vya watanzania kujawa na furaha ,amani, utulivu, matumaini na matarajio makubwa sana.

Anapendwa , kukubalika,kuungwa mkono ,kuaminika na kuwa na ushawishi Hapa Nchini kwa sababu Maisha yake hapa Duniani yamefanyika kuwa baraka kwa mamilioni ya watu .kwa sababu amegusa mioyo na Maisha ya mamilioni ya watanzania,kwa sababu ameleta tabasamu na matumaini kwa watu,kwa sababu ameleta nuru katikati ya Giza ya maisha ya watu,kwa sababu ameonyesha njia ya matumaini kwa watu waliokuwa wapo njia panda.kwa sababu amewezesha wengi kutimiza ndoto zao,kwa sababu kila uchao umekuwa bora kuliko jana kwa watanzania.

Huyu ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.huyu ndiye mboni ya Taifa letu .ndiye aliyebeba na kushikilia furaha ya mamilioni ya watanzania.kwahakika Mama huyu jasiri , shupavu, imara, hodari na madhubuti ataendelea kuwa nguzo ya Amani ya Taifa letu kwa ulimi wake,matendo yake na uchapakazi wake utakuwa msingi wa ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.

Huyu Mama ni kama Maji tu usipoyanywa utayaoga tuuu utake usitake. Huwezi kumkwepa wala kumchafua wala kumpaka matope.Maana kibali alichopewa na Mungu kuongoza Taifa hili hakiwezi kunyang'anywa na Mwanadamu wala kuharibiwa na mtu mbele za watanzaniaView attachment 3160299View attachment 3160300

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mafisadi wabampenda sana kuliko ulivyoeleza.

Wananchi hawampendi na anachukuliwa as dalali anayrfisadi nchi kwa wageni
 
Uwe na kiasi ndugu...wanyiha nyie mnajifanya wanyenyekevu mpaka kuwa chawa wabaya...Mama Samia achana nae huyu
Nilioa kwenu Isansa , mna roho za kuzimu kabisa.
 
Ndiye kiongozi ambaye amebeba matumaini na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania mikononi mwake,ndiye kiongozi ambaye watu wote humtizama yeye kama nyota ya asubuhi kwa wavuvi.ndiye mtu ambaye watu wana imani ya kutimiza ndoto zao kupitia yeye.ndiye kiongozi ambaye amefanya mioyo na vifua vya watanzania kujawa na furaha ,amani, utulivu, matumaini na matarajio makubwa sana.
 
Uwe na kiasi ndugu...wanyiha nyie mnajifanya wanyenyekevu mpaka kuwa chawa wabaya...Mama Samia achana nae huyu
Nilioa kwenu Isansa , mna roho za kuzimu kabisa.
Embu acha ukabila wako hapa.kwani nani kakwambia naandika kwa niaba ya kabila langu? Unalifahamu kabila langu? Ulikwenda kuliuliza kama linamuwakilishi hapa jukwaani ? Mimi ni Mtanzania na sina habari za ukabila
 
Back
Top Bottom