Huyu ndiye Kiongozi

Mkuu, ulikuwa sahihi kabisa, kuna watu wamemsifu hata kumuaminisha kwamba yeye ndio mzalendo pekee na mwenye kuipenda nchi kuliko raia yeyote, ni ujinga hakuna raia asiyeipenda nchi yake.
 
Kingine kikubwa ambacho hakipo kwa jirani yake ni kauli za kuheshimu mfumo wa sheria..

Kwa kauli aliyoitoa Uhuru inaonesha anaheshimu sana Mahakama, na ndivyo kiongozi anapaswa kuwa
 
Wabunge wengi walioshindwa kwenye uchaguzi walisahau mojawapo wa sababu za kuangushwa ni hili la wao kulazimisha mishara mikubwa.
 
Kumbuka wakenya wamemchagua tena baada ya kuwaambia raundi hii ATAKUWA kama Magufuli.
 
Hawa Watanzania nao wako hivyo. Kulia lia mara kwa mara kwamba gharama za maisha zimepanda hivyo waongezewe mishahara na marupurupu lakini hawasemi kitu kuhusu mishahara midogo ya raia.

Wabunge wengi walioshindwa kwenye uchaguzi walisahau mojawapo wa sababu za kuangushwa ni hili la wao kulazimisha mishara mikubwa.
 
Gni zamu ya wakenya sasa kina MK254 kupost huko kwao kuwa WaTz (bavicha) wanataka Uhuru awe rais wa Tz.
 
Mtamfanya jamaa yetu aache hata kwenda nchi za jirani
 
umeandika point kubwa sana
 
sasa mambo ya hamia kenya ndio nini..jamaa amesema maoni yake mmeshaanza kumkashifu kana kwamba ana tamani kuwa mkenya...lol! wabongo tu
 
Huyu jamaa ukiacha bangi,ni bonge la raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…