Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
'Mtalimia meno',
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ulikuwa sahihi kabisa, kuna watu wamemsifu hata kumuaminisha kwamba yeye ndio mzalendo pekee na mwenye kuipenda nchi kuliko raia yeyote, ni ujinga hakuna raia asiyeipenda nchi yake.Niliwahi kusema awali kuwa huyu wa kwetu anazidi kuharibika kwa sababu yapo mavuvuzela yamekaa kumsifia hata anapoharibu. Na kwa vile hajitambui yaani ushamba umetamalaki, basi anavimba kichwa kwa sifa hizo na kuona anafanya sawa. Lakini haya ya madeni na kamata kamata ya mali ndio akili inaweza kumrudia
Wabunge wengi walioshindwa kwenye uchaguzi walisahau mojawapo wa sababu za kuangushwa ni hili la wao kulazimisha mishara mikubwa.
Mtamfanya jamaa yetu aache hata kwenda nchi za jiraniIssue sio kuhamia Kenya..
The matter here ni kwamba Tanzania inaongozwa ovyo..
Hilo wala halina mjadala..
Pogba amesambaratisha kila kilichokuwa walau kimesimama sasa kimelala..
Demokrasia, Uchumi, hali za wafanyakazi, investors wote hoi..
Kingunge alisema huyu ni nyapara wa Barabara Hakupaswa kuongoza Nchi.
umeandika point kubwa sanaHuyu jamaa amekulia ikulu, amemuona babake akiongoza, amekulia maisha ya kifahari, amekuzwa na amemuona na kujifunza uongozi pia kwa Moi ana exposure ya kutosha kwenye mambo ya uongozi unategemea aongoze kama mtu aliekulia kijijini ambaye muda wote anataka aonekane ni Raisi wakati tayari ni raisi.
Ona hii member ya NASA yaani Moses aliyokuwa akisema kwenye mikutano yalikuwa sawaHe can say much but Kenyatta at all is not a servant, he is a master bearing tribal/ethical flag.
Watu ni wavivu sana kukumbuka, Uhuru na kundi lake wameanza kucopy ya Magufuli.