Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

pele, maradona, ferguson,de lima. figo na wengine wengi wanaojua mpira wanasema Messi ni Bora kuwahi kutokea kuliko ata Ronaldo na imefikia Mahala wakasema ni Bora Kuliko ata wao Sasa wewe ni Mwanamke Gani unasema CR7 ni bora Kuliko MAGICAL MESSI
 
fungua uzi wako
hapa ni messi tu
 
pele, maradona, ferguson,de lima. figo na wengine wengi wanaojua mpira wanasema Messi ni Bora kuwahi kutokea kuliko ata Ronaldo na imefikia Mahala wakasema ni Bora Kuliko ata wao Sasa wewe ni Mwanamke Gani unasema CR7 ni bora Kuliko MAGICAL MESSI
Umedanganya mkuu!! Hizi siasa za uongo waachie akina magu...kinana and the alike we huziwezi!! Ferguson???? Heheheeee jinga kweli wewe!!
 
Samahani Dada Nenda Ka google au youtube umsikie Fergie
Wala sikulaumu mkuu! Najua una stress nyingi sana ikiwemo ya real madrid kubeba ubingwa wa laliga na kubeba mapaka uefa mara mbili mfululizo!!

Messi mwenyewe kamkubali ronaldo sasa wewe sijui unabisha nn??

Mi nachojua nje ya barca huyo ni nesi tu na ndio maana hataki kung'atuka huko kwa kuwa anajua watu wataufahamu UK well wake kuwa anabebwa na timu na si kama Ronaldo,popote yeye ni kambi tu
 
Mi nachojua nje ya barca huyo ni nesi tu na ndio maana hataki kung'atuka huko kwa kuwa anajua watu wataufahamu UK well wake kuwa anabebwa na timu na si kama Ronaldo,popote yeye ni kambi tu
nje ya Barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…