Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
- Thread starter
- #21
To me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!
Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!
Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!
Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!
Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??
Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!
Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!
Cr7 sio wa dunia hii...
Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
pele, maradona, ferguson,de lima. figo na wengine wengi wanaojua mpira wanasema Messi ni Bora kuwahi kutokea kuliko ata Ronaldo na imefikia Mahala wakasema ni Bora Kuliko ata wao Sasa wewe ni Mwanamke Gani unasema CR7 ni bora Kuliko MAGICAL MESSI