Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Eder ndo aloipa ubingwa ureno, punga CR7 baada ya kuona gemu ngumu akazuga kuumia dakika ya pili ili aepuke lawama.....Eder ndo kichwa wa fainali
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 Baada ya hapo akajifanya ni kocha 😀 😀 😀
tapatalk_1497119698092.jpeg
 
Mahaba yakizidi unageuka kuwa mchawi sasa, namheshimu sana gaucho Ila hajamfikia messi kwa magoli, idadi ya makombe isispokua world cup tu, assist, pichichi, golden boots, Uefa, laliga, copa de larey yaani everything......Dinho kamzidi messi labda kwenye kupaka mate mpira, kombe la dunia na kuwa na nyota ya kupendwa na watu baasi.
Mataji? mataji mpaka mchezaji apambwe na media? hata tunzo yake alopewa walivopigwa final na ujerumani watu walishangaa kwa kipi! sisi tunaujua mpira wa sasa ivi ulivo. Kwa mpira gani alokuwa na messi ata amfikie Dinho? 😀 umetizama mpira juzi. Kumbuka Dinho kacheza sehemu tofauti na kote kang'ara, Messi kacheza wapi kwengine ata asifiwe? Ahahahaa.... Usitutanie....
 
Mkuu ufundi wa messi ni wakawaida sana tu. Ni media tu ndio zinampa sifa. Yaani ukitizama chenga zake kwanza ni za kawaida, anachowazidi wenzake ni kuwa sharp tu. Lakini mtu mzima dinho ukimtizama manjonjo yake unajua asa kama ule mpira umempigia saluti, anavisha na kumvua mtu kanzu apo apo, afu brudani yake anatoa pasi ata hatizami na inafika. Ndo mana nkasema huyu ni Engineer. Anajua kuupamba mpira ukapenda kuutizama, yaani mpira akiugusa dinyo tu basi ata kama yupo timu pinzani sura inajawa na bashasha, ndio nkasema ni Artist. Msela wamuache tu, Dinho sijapata kuona!
Hahahahahaha we unachekesha saana yani, ufundi wa Messi wa kawaida?? Hebu muulize Ramos na crew nzina ya Real Madrid na Perez akiwepo uone anachowafanyiaga el classico......nauhakika siku ikitokea unamkaba messi ubongo wako uta paralyse na moyo kuzimika kabisa, kisha tunakuzika..
 
Huyo nesi unayemshobokea hata samatta hamkuti,katoka mazembe kaenda Genk anatikisa,sa nesi katoka wapi kaenda wapi???
 
Ubongo uparalyse kisa nini? kwa izo chenga zake kugeuka uku na kule? Ingekuwa dinho ningeelewa mana angenipa kanzu kisha nkazimia..... Kijana wenu kang'arishwa na dinho na wenzake. Ngoma Argentina imemshinda akastaafu.
 
Mataji? mataji mpaka mchezaji apambwe na media? hata tunzo yake alopewa walivopigwa final na ujerumani watu walishangaa kwa kipi! sisi tunaujua mpira wa sasa ivi ulivo. Kwa mpira gani alokuwa na messi ata amfikie Dinho? 😀 umetizama mpira juzi. Kumbuka Dinho kacheza sehemu tofauti na kote kang'ara, Messi kacheza wapi kwengine ata asifiwe? Ahahahaa.... Usitutanie....
Kilele cha mpira wa gaucho ni Barcelona na hilo usibishe, nshakuambia gaucho kamzidi messi kwenye kuupaka mpira mate, kombe la dunia na nyota ya kupendwa na watu......unasema messi anabebwa na media, hivi hujiulizi kwanini messi na sio wengine?? Jibu ni kuwa waandishi ni wataalamu wa soka, sasa we Ndugu yangu hata mpira huujui kazi kuingia YouTube na wikipedia tu kusaka data......ukweli ni mchungu Ila messi yupo kwenye level za Pele na Maradona.fullstop.
 
hebu nitajie timu yake ya mwisho kucheza na mafanikio yake
 
Eti level za kina maradona na Pele, ahahahaaa..... Waandishi wataalamu wa soka? We hupo serious kabisa unaongea vitu pointless, kwanini messi isiwe mwengine? Brand Management ndio jibu lako. Media ikiamua Messi aanguke anaanguka tu. Hivi kwanini Dinho anapendwa na watu wote?
 
Huyo nesi unayemshobokea hata samatta hamkuti,katoka mazembe kaenda Genk anatikisa,sa nesi katoka wapi kaenda wapi???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jah umechanganyikiwa nadhani dishi limeyumba, Yaani samata kamzidi Messi?? Anyway sikulaumu Ila naamini when you come back to your normal senses utajigundua kuwa uliandika mashudu....punguza mihemko
 
To me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!

Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!

Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!

Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!

Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??

Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!

Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!

Cr7 sio wa dunia hii...

Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
Hoja yakitoto kabisa,,inaonyesha wewe si mtu wa mpira eti anabebwa na barca hivi we unajua mpira kweli...
 
hebu nitajie timu yake ya mwisho kucheza na mafanikio yake
Mkuu usitizame timu ya mwisho, tuanze kuutizama mpira wa Dinho tangu alipoanzia. Timu ulomaliza kuwa na mafanikio nayo haimaanishi kuwa pale ndio umeshine. Ndio maana nkakwambia wewe mpira umefatilia juzi tu. Enzi Man city imenunuliwa na mashekhe! 😀 Mchezaji anatizamwa alipocheza. SASA SWALI, MESSI ALIWAHI KUSHINE OUT OF LA LIGA AND SPAIN?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jah umechanganyikiwa nadhani dishi limeyumba, Yaani samata kamzidi Messi?? Anyway sikulaumu Ila naamini when you come back to your normal senses utajigundua kuwa uliandika mashudu....punguza mihemko

Unacheka????,fikiria vizuri utapata mantiki yangu,kama ushalewa,balimi zako huwezi kuelewa nachokisema mkuu
 
Eti level za kina maradona na Pele, ahahahaaa..... Waandishi wataalamu wa soka? We hupo serious kabisa unaongea vitu pointless, kwanini messi isiwe mwengine? Brand Management ndio jibu lako. Media ikiamua Messi aanguke anaanguka tu. Hivi kwanini Dinho anapendwa na watu wote?
Gaucho anapendwa na wengi labda kwasababu ya Nyota, kuwa timu ya TaifA ya Brazil ambayo naamini hata wewe ulikua shabiki, hana hasira yeye ni kitabasamu time yote, kuuchezea mpira kama kazaliwa nao......kama ni brand management, sasa brand management za players wengine mbona haziwatangazi wakwao???
 
Unacheka????,fikiria vizuri utapata mantiki yangu,kama ushalewa,balimi zako huwezi kuelewa nachokisema mkuu
Nimecheka ulipo sema eti messi hamkuti samata? Kwelii? We sio mzima kabisaaaaaa
 
Sijawahi sikia jina la Ronaldo likitumika kizembe maisha yangu yote.
 
Back
Top Bottom