Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Status
Not open for further replies.
me team mange wa kugalagala kabisa, yaani kila saa moja lazima niingie insta kiangalia kapost nini , nyinyi ccm hivi kuna mwanamke gani hapo kwenu anayeweza kuchambua mambo au kujenga hoja kama Mange ? Juliana ? Vicky ? yule aliyelia bunge lisionyeshwe? kopa? Sofia?
 
😉😉😉😉😉....YA NGOSWE.....
 
Tusibaki kumlaumu yeyote yule juu ya Habari hii either ni uzushu au la!!!
Ukishaona Taarifa kama hii kwenye sekta nyeti,tafadhali usikurupuke hata kidogo kubwatuka be Curious (Mtafiti) na kutafuta sababu ya habari hii kuna nini hasa?je ni ukweli?kama siyo kweli ni kwanini kuna habari hii?lengo la habari hii ni nini hasa?
Yangu macho na masikio hadi mwisho wa Season
 
Wanajazana ujinga tu hao.. Na kufarijiana kwa maneno ya kipuuzi, uzungu unewatawala na wala hawajui wanachokitaka ni nini..maana nchi za magharibi wanaume walisha wakabidhi wanawake ukichwa wa familia ndo maana wanakuwa maboya na kutawaliwa na wanawake
 
Mange huwa anaandika ukweli ambao wengi hampendi kuusikia lakini ujumbe unawafikia.
Ni rahisi kuamini jambo ambalo unaambiwa hasa ikiwa ndio jambo ambalo ungependa kusikia kwa wakati huo.....
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe tenge
 
Thubutu, hata kuchungulia post zake tu mikojo inawatoka.
 
Mbona vingine vinavyozushwa hawakanushi kwa nini hii
 
Toka uko
 
Siwezi kuamka wala kulala bila kupitia Instagram kuona Mange kasema nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…