Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Status
Not open for further replies.
Mange ndo mwanachama pekee wa ccm mwenye kujielewa hanunuliwi kwa buku 7
 
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
View attachment 395265
Wewe unashida kwenye ufahamu wako, hii ulichoandika hakiendani na ulichoposti maana Mhe.Zitto kasema kwa taarifa hii nadhani kunatatizo kwenye Urais, mimi sijaona shida ya Zitto hapo
 
kitu kilichowastua wengi...Mange anaandika ishu nyingi sn za serikali ila hawajawahi kukanusha....sasa hii mbona hata siku haikuisha wakakanushaa???....hapo ndio kuna walakini....nahis kuna ka ukweli...[emoji40]
 
Ni rahisi kuamini jambo ambalo unaambiwa hasa ikiwa ndio jambo ambalo ungependa kusikia kwa wakati huo.....
Mange Kinambi huyo ni mwana CCM mwenzako ambaye hana chembe za unafiki kama nyie huyu huwa anaongea ukweli siku zote. Anapotoa taarifa asilimia kubwa huwa za ukweli.
 
Mange anajua anafanya nini yeye sio kichaa aanze tu kuandika Ana source zake kwani alivyokuwa anamtukana lowasa aliamka tu akamtukana mnajua kwanini mtaliano wa makamba alimpa kazi mange hizo ni kazi zake
 
INSTAGRAM YAKE



mangekimambi_Naweka Picha Hii kuwapa Moyo vyama vya upinzani Tanzania Kwa uonevu wooooote na unyanyasaji wooote wanaofanyiwa na serikali ya Magufuli... Huyo anaevutwa Na kudhalilishwa Na mwanajeshi ni Rais wa zamani wa Ivory Coast, Gbagbo... Huyu baba alinyanyasa upinzani vibaya mnooo. Ali unleash jeshi Kwa Wananchi.. Wananchi wengi waliuwawa Na jeshi lake. Ila na yeye siku yake ilipofika alidhalilishwa na jeshi Hilo Hilo alilotumia kudhalilisha upinzani, Askari hao hao aliokuwa anawatuma kuwadhalilisha Na kuwaonea wanaompinga....Watanzania jipeni Moyo hakuna lenye mwanzo lisilo Na mwisho. Hata wananchi wa ivory cost waliwekewa jeshi, waliwekewa FFU, Wananchi wengi waliuwawa Na jeshi , viongozi wa upinzani walidhalilishwa Ila siku wananchi walipochoka jeshi lilishindwa Na polisi iliwashindwa. .
.

Lema Na viongozi Wengine wa upinzani mliokuja kunyakuliwa Hivi mbele ya familia zenu, mbele ya Watoto wenu pigeni Moyo konde huwa yana mwisho haya... Kuna siku Magufuli na yeye atanyakuliwa hivi Na Hilo Hilo jeshi analoliambia likafanye usafi Mara likapande miti siku ambazo maandamano ya Amani yamepangwa...... Acheni wapitishe sheria zao za kipuuzi. Acheni wawafunge Ila kuna siku yatakwisha Na wao watakaa jela hizo hizo, hao hao Kina Mwakyembe wanaoleta miswada ya unyanyasaji Bungeni watalia machozi sababu ni miswada Hiyo huyo itakayotumika kuwaumiza wao Na wao siku watakayoitwa wapinzani........

NAULIZA HILI NI KWASABABU YUPO MAREKANI NDIO ANAONYESHA WANANCHI CHA KUFANYA? HUKU SI KUCHOCHEA MAMBO HAYA AU? YEYE ANAJULIKANA KWA KUMCHUKIA RAISI WETU SABABU HAJAPEWA CHEO BAADA YA KUPIGA KAMPENI KWENYE INSTAGRAM YAKE AU NI KIPI TENA ZAIDI YA HILI JUU YA CHUKI NA MAISHA YAKE PIA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…