Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Khaa! Kusema ukweli Japo inaweza msiamini Mimi siamini kama yule MTU Ni mwigizaji ..naamini Mpaka Leo hii kwamba ndio Yesu Mnazareth!!!Kama Allliigiza vile Ni MTU wa Ajabu..Na siwezi endelea kuandika zaidi ya hapa..Sio MTU Bali Kuna MTU zaidi anayeishi ndani ya huyo Brian Deacon
 
Ndio maana mnaambiwa msiabudu wala kuzisujudia wala kuzitumia ktk imani picha au sanamu
 
wewe jamaa umetoa wapi hizo habari....
kwanza mel gibson hajaokoka huyu ni jesuit ni traditional catholic
hollowverse.com/mel-gibson/
alafu huyu jamaa ajawahi kuja tz
 
Hata mimi jamaa amenishangaza kidogo aliposema Mel Gibson ameigiza hiyo filamu. Najua huyu mtu ni director wa filamu maarufu za "Passion of Christ" pamoja na ile ya "Apocalypto"
main character wa passion of chridt ni nan
 
yaani nikiwa mtoto niliaminishwa huyu ni yesu, wazungu wabaya kumbe Yesu alikuwa mwafrika teh teh....
 
Mell gibson ni director broh
 
Hivi ndo huyu au nimemfananisha
Kule kambini tunasema anapata 5kidogo yaani kupumzika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mbona hujatuambia anachokifanya kwa sasa katika maisha huyo mwigizaji?,refer your heading.
 

mkuu Yesu wa asili mwenyewe una kapicha kake tuwekee hapa tujaribu kutazama kama kweli jamaa wamefanana kweli?
 
Muhamad sio kitu cha kuigiza hata huyo yesu ni makosa kumuigiza sababu hakukuwa na picha enzi za mitume.hivyo kutoa image za kumfananisha ni kinyume
Tasnia ya uchoraji au kipaji cha uchoraji hakikuanza hivi karibuni...Wachoraji walikuwa tokea kuumbwa kwa ulimwengu..

Wachoraji wengi wa karne za mwanzo walichora picha za Yesu, Mama yake vizuri kabisa...Picha nyingi za Yesu na mitume wake zilikutwa kwenye makaburi (catacombs) na kwenye kuta....
 
Jim Caviezel unamfahamu?
 
Unataka kuniambia before jamaa hajazaliwa 1949 machapisho ya kiroho yalikua na picha nani?? au hayakua na picha??
Pichaa za kaline as nyuma zinasemekana yesu na Maria walikuwa weusi...na si wazungu kama ilivo sasa, kwa walio fika st.Peters basilica Roma wanaweza kusema chochote ...

Pia masinagogi ya misiri, na ugiriki hana hiyo michoro..sasa Kanisa Letu la Roma uwaga linabadili hizi picha kama kinachosemwa kiko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…