BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Picha yake jamaa huyo ipi makanisani sana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni ngumu kuendelea kwa vile ujamaa umetulaani sana.Ni ngumu sana kwa watanzania kuwa na maadili ya kutosha kupima issue vyema. Tanzania ni nchi yenye wanaiki wengi sana, at any time kuna mtu yupo tayari kuongea uongo akidhani anamkomoa fulani,au kushangilia uovu fulani akidhani utamfanya yeye awe yupo ktk njia sahihi. Ndio maana ata ujinga ktk hii serikali una watu leo wanapinga kesho wanashangilia. Km walivyozoea kuchagua dhambi ndivyo wanachagua cha kutumia akili.Hizi ndo akili zakitanzania.Kwa akili hizi tutasubiri sana kuendelea maana kama watu wanajadili filam yamiaka 30 iliyopita wakat sisi ata maigizo bado hatuwezi basi safar bado ni ndefu kujikomboa.
Unadhani hata wewe unaujua ili ujue ubaya wake. Km tayari mmojawapo ya wachagua dhambi.Ni vipi sasa utakuwa na haki ya kusema unaujua ukafiri ili ujue ubaya wake?Hakuna kitu kibaya kama ukafiri na wengine ndio wamepamba sebule zao kwa mapicha yake Eti ndio mungu wao! !!!! Mungu wazindue viumbe wako.
Hehehe hii kali. Sanda ilikutwa ikiwa kama shuka tu kitandani mtu akiamka. Sasa hiyo shape ya uso ilitoka wapi [emoji23]walichagua mtu ambaye anakaribia munekano km wa picture iliyopatikana ktk sanda iliyotumika kumfunika Yesu.Ilivyopigwa picture kwa carbon 14,na X-rays ilipata picture kwa jinsi damu ilivyosambaa na kuganda ktk hiyo sanda.
Hebu weka sura Ya MussaKama sura ya Musa inajulikna itakuwa ya Yesu..??
unajua musa alikufa vipi?Kidogo mjitahidi kuuliza maswali yasiyo ya kupoteza muda kwa kujidai wajuaji.Huku mna bembea ktk nusu factsHebu weka sura Ya Mussa
Ulishwahi jifunza kifo cha Yesu na makovu yake yalikuwa wapi? Kwa taarifa yako, Atheist walipigana mahakamani kupinga uwepo wa Yesu ktk hii dunia, kupinga Kifo chake. Ila walishindwa kihistoria na kisayansi. Pengine ungepoteza muda kujifunza properties za damu ktk material. Achilia mbali damu nikupata juice wewe na kukufunika na nguo nyeupe kuzunguka mwili wako, niliitoa na kuikausha au kuiosha na chemical kuna vitu viungo vitaonekana km wewe ,Hehehe hii kali. Sanda ilikutwa ikiwa kama shuka tu kitandani mtu akiamka. Sasa hiyo shape ya uso ilitoka wapi [emoji23]
Pengine unachosahau ni kwamba, hata vitabu km Quran, Biblia(Baadhi ya vitabu ndani), pia navyo unaweza dhani kwamba unasoma Kauli ya Mungu kama inavyotoka mdomoni kwake ila ukweli sio. Kitabu na maandishi ni aina moja ya kutunza na kusafirisha kumbukumbu, ila video, acting, webpage,voice pia ni options nyingine. Tatizo ni watu ni wale wale wachagua dhambi wana ganzi ya akili. Hawapo composed ndio maana hawajui kwanini dunia yao haiopo sawa.Wakristo wengi wametundika picha za huyu Jamaa Majumbani kwao wakidhani Yesu. Na bila aibu akitaka kutoka anasema nilinde yesu huku anatazama picha ya mzungu huyu. Kingine hata makanisani sanamu za huyu jamaa ndio zimewekwa mbele ya kanisa na watu wanatazama sanamu hilo na kufanya ibada wakidhani ni Yesu. Poleni sana ndugu zangu [emoji22][emoji22]
ILE PICHA YA KICHWA CHA MWANAMKE NA FARASI SI PICHA YA UKWELI ILE ILILETWA KWAIJLI YA KUWA-CONFUSE WAISLAMU ILI WADHANI KWELI,LA HASHA!NDUGU ILE ISSUE ISHAGUNDULIKA NI PICHA YA MIONGONI MWA MIUNGU WA KIHINDI UKO INDIA SO WAISLAMU KAMWE HAWAABUDU PICHA.Pengine unachosahau ni kwamba, hata vitabu km Quran, Biblia(Baadhi ya vitabu ndani), pia navyo unaweza dhani kwamba unasoma Kauli ya Mungu kama inavyotoka mdomoni kwake ila ukweli sio. Kitabu na maandishi ni aina moja ya kutunza na kusafirisha kumbukumbu, ila video, acting, webpage,voice pia ni options nyingine. Tatizo ni watu ni wale wale wachagua dhambi wana ganzi ya akili. Hawapo composed ndio maana hawajui kwanini dunia yao haiopo sawa.
Hivyo vitabu vyako pia unasoma vitu vingine si direct kutoka kwa Mungu,ila ujumbe wa Mungu km mwandishi alivyouwakilisha. Inahitaji kuijua kweli ili uweze ishi imani na mafundisho ya Mungu wa kweli. Hao wakristu wanaoichukulia hiyo picture km ibada sio tofauti na waislam wanaoiweka picture ya yule farasi mwenye sura kichwa cha mwanamke ndani, au anayeamini Quran ni ya kushika km ibada.Nayo imechapishwa ktk nyumba na watu wasio hata na dini,wengine walikuwa wanafanya mammbo ya ajabu ktk hizo printing house.
Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!
Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.
Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.
Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
Haha, ndio unavyojitoa?Nyumba nyingi za waislam ipo, magari ya waislam yamejaa.Wanaamini ndie farasi Muhamad alipanda nae ktk mwezi. Tataizo ni kwamba unajarbu kuwa mnafiki km wenzio.Hata wakristu wanaweza sema hivyo, kwa vile sio wote wanaoamini picture ya Yesu imepigwa moja kwa moja kwa Yesu mwenyewe. Kuna mengi mkuu ,huo ni mfano tuu nimeweka ili watu wajifunze kuwa fair na kusema vitu wakiwa na akili timamu.ILE PICHA YA KICHWA CHA MWANAMKE NA FARASI SI PICHA YA UKWELI ILE ILILETWA KWAIJLI YA KUWA-CONFUSE WAISLAMU ILI WADHANI KWELI,LA HASHA!NDUGU ILE ISSUE ISHAGUNDULIKA NI PICHA YA MIONGONI MWA MIUNGU WA KIHINDI UKO INDIA SO WAISLAMU KAMWE HAWAABUDU PICHA.