Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Haha, ndio unavyojitoa?Nyumba nyingi za waislam ipo, magari ya waislam yamejaa.Wanaamini ndie farasi muhamed alipanda nae ktk mwezi. Ttaizo ni kwamba unajarbu kuwa mnafiki km wenzio.Hata wakristu wanaweza sema hivyo, kwa vile sio wote wanaoamini picture ya yesu imepigwa kwake yeye mwenyewe. Kuna mengi mkuu ,huo ni mfano tuu nimeweka ili watu wajifunze kuwa fair na kusema vitu wakiwa na akili timamu.
Siruki namba mkuu kufikia namba kumi kabla ya 1,2,3... kwaio ndo nikaamua kuelezea hali halisi ilivyo.
 
Pichaa za kaline as nyuma zinasemekana yesu na Maria walikuwa weusi...na si wazungu kama ilivo sasa, kwa walio fika st.Peters basilica Roma wanaweza kusema chochote ...

Pia masinagogi ya misiri, na ugiriki hana hiyo michoro..sasa Kanisa Letu la Roma uwaga linabadili hizi picha kama kinachosemwa kiko sawa

Huo ni uongo mkuu sana tena wa mchana kweupe. Hakuna michoro Ya zamani ambayo inaonesha Yesu alikua mweusi.

Michoro Ya zamani, kama ule wa last supper wa Da Vinci wa karne Ya 16 ilikua inachorwa kama kazi Ya kuajiriwa kwa artists wenye kaliba kubwa sana. Mfano, michoro mingi Ya kanisa la katoliki la Roma (Vatcan) na makanisa Ya miji mingine Ya italia Ya zamani (pia ikiitwa rumi/Roma) kama vile Florence, Venice n.k yote ilichorwa kwa mfano wa watu walioishi pale. Kwa kifupi, kama artist angetoka tanzania akapewa hiyo kazi kipindi kile, angechora Yesu mweusi kwa sura yake au kwa sura Ya tajiri aliyemwajiri. Mfano huu kwa ulaya Upo katika picha za ma-artist wa kanisa katoliki wengi kama da Vinci,michangelo, Rafael n.k..mfano wa watu waliotumika kuchorwa ni Ma-papa, Pia familia tajiri kama vile Medichi.

Mfano mzuri ni kazi Ya last supper ya Da Vinci ambapo Yuda eskarioti amechorwa kwa sura Ya paroko wa kanisa hilo ambae alikua anamsumbua sana kwa sababu Da vinci Alikua na mambo Mengi na hamalizi kazi ambazo amezianza.

Mfano mwingine ni sanamu maarufu ya kijana mfalme Daudi ambayo alitengeneza mikaangelo lakini kwa mfano wa sura yake.

Huu sio utaratibu wa ajabu kwa watu wanaoijua historia Ya paintings za Renaissance, na periods nyingine za ulaya Hasa Italy.Tafadhali kama kitu hujui sema tu, msidanganye watu humu JF.
 
Siruki namba mkuu kufikia namba kumi kabla ya 1,2,3... kwaio ndo nikaamua kuelezea hali halisi ilivyo.
sasa unaleta story imegundulika kuwa ni mojawapo ya miungu ya kihindu, kama vile unaniambia kitu kizuri sana au ugunduzi wa rocket.Hembu niambie nani aliwapa waislamna kuwekwa katika kila nyumba,kila office katika magari, apps etc?Na hadi sasa zinauzwa sana km njugu. Au ni nyie mliongeza mbwembwe,mkitaka kila kinachooneka kizuri duniani na kwenu kiwepo?

Kama wewe kila kitu kinachoonekana ni kirahisi kupinga Ukristu unakikimbilia kwa vile adui wa adui yako ni rafiki.Then Jiandae KUSIKIA UISLAM NI PROJECT YA KANISA KATOLIKI. Google .How Catholic Created Islam.
 
Movie inasema mengi kuliko watu walivyodhani.Movie inasolve issue za imagination.Wasomi wengi wetu wamesoma vitu vingi na kufauli ila hawana picture ya jinsi vinafanya kazi, wakristu wengi kutokana na sehemu walizoishi hawawezi jua makaburi ya wayahudi kipindi kile, pia hawakujua watu walifanana vipi kufanya mammbo fulani kivipi tofauti na kwao.
 
Na ndio maana wakristo wengi wanakubali tu kwa kile kila waambiacho na wachungaji wao bila kufanya uchunguzi.
 
Ngoja nikae kitako nishuhudie mnyukano wa hoja[emoji3]
 
Na ndio maana wakristo wengi wanakubali tu kwa kile kila waambiacho na wachungaji wao bila kufanya uchunguzi.
kwani unadhani dini gani haina watu wanaokubali tuu?Wewe mwenyewe kuna mengi unakubali tuu, bil akupinga kwa vile hata misingi ya kupinga huna,huna huo uelewa. Wewe si hadi leo unaamini kitabu chako kimeshushwa toka mbinguni km kilivyo.Hadi leo si unaamini bil akujiuliza ikiwa ni habari mbaya kuhusu ukristu?Watu wengine wanapendwa kudanganywa kwa vile kudanganywa kunawaondolea stress ya kufikiri mambo makubwa wasiyoyajua. Wewe unaweza jiona unafanya uchunguzi ila ukiwa na watu wenye kujua mambo hakuna uchunguzi uliofanya, sana sana umedandia tuu junks ktk internet km wale wapiga propaganda mitaani wenye viande vya mistari dhidi ya dini nyingine .Wakikosa majibu kwa watuc wachache basi wanadhani wana ukweli wote dhidi ya wengine na wanachoamini kimekuwa kweli.Hakuna hiyo habari ndio wengine wanajikinga kwa kuwaita wengine ni adui wa dini yao haraka sana ili kumwondoa ktk sura ya dunia ikiwezekana,au kuzuia wengine wasisikilize kwa vile watafunguka kwa level ambayo hawana majibu.
 
Nimebarikiwa na profile ya brian but we have to keep in mind kuwa hakuna ajuaye sura ya yesu halisi
Sura ya Yesu halisi ipo moyoni mwako, kama ni mwenye upendo hyo ndio sura halisi ya yesu, kama ni mwenye huruma utaiona tu sura halisi na watu wataiona. Ndio maana hata physical image zinazotumiwa kumwonyesha Yesu physically ukiziona zinareflect atleast hicho ninachokimaanisha japo binadamu walietumia picha yake anaweza asiwe hivyo rohoni. Kwa hyo knachotafutwa kwenye hizo pcha ni kukuonyesha upole, huruma n. K.
 
Mimi naona Brian coden, aliamua kufanya hivyo kujaribu kuonyesha maisha ya yesu kristo , huyu alikuwa hana nia mbaya kwani kupitia movie yake imeafanya watu wengi kuokoka
 
Muhamad sio kitu cha kuigiza hata huyo yesu ni makosa kumuigiza sababu hakukuwa na picha enzi za mitume.hivyo kutoa image za kumfananisha ni kinyume
Kilichoigizwa ni sura ya kiroho ya Yesu kristu kama ilivyo katika injiri. Sasa physical presentation ya mtu isikusumbue japo walkuwa wanatafuta mtu ambae akiigiza sura ya kiroho ya yesu basi na mwonekano umpe support. Hii ni kwa sababu mwanadamu kuamini utumaini kile macho yanaona na ubongo kumtafasiria, badae ndipo hushirikisha roho na kugundua muda mwingine amekosea. Mfano ni rahisi sana kuukumu mtu kwa kumwangalia mwonekano wake lakini badae unakuta umekosea.
 
dah aiseh, jamaa anaweza sana, alivaa uhusika vilivyo, mpaka kesho najua kwel yule ndo yesu original, sasa sijui na yeye atakufa au la..maana kaponya wengi sana aiseh
[emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo hao wasanii ndio mungu wawakristo si ndio maana yake
 
View attachment 247773


Si nia yangu kujadili katika mlengo huu, bali kujifunza na kuielewa dunia ilikotoka na iendako, katika machapisho mengi ya kiroho hasa ya kikristu hutumia picha ya Brian Robert Deacon inayofahamika kuwa ni ya Yesu Kristu wa Nazareti, lakini upembuzi wangu umebaini kuwa Anaitwa Brian Deacon, amezaliwa 13 February 1949 Huko Oxford Uingereza, Baba yake anaitwa Robert Thomas Deacon ambae aitaalamu alikuwa faundi magari, Mama yake anaitwa Eileen Mary ambaye alikuwa Nesi, Brian Deacon ni Mtoto wa pili kuzaliwa katika familia yao, Brian Deacon alioa mke wa kwanza mwaka 1977 aitwae Rula Lenska ambae amezaa nae mtoto mmoja aitwae Lara Brian Deacon, Lakini Mwaka 1982 mkewe alimtuhumu mumewe kutembea nje ya ndoa na ndoa yao kuvunjika, Alikaa miaka 16 na Hawara yake Cecy Redknap mpenzi wake wa muda mrefu, Mwaka 1998 alioa kke mwingine aitwaye Natalie Block ambaye mpaka leo wako pamoja,

Msanii Brian Deacon alipata tenda ya kuigiza katika Filamu kama YESU, Filamu alizowahi kushiriki ni A - Zed & Two Nought Mwaka 1985, Feather Seapent Mwaka 1976, Lillie Mwaka 1978 Na nk, Wakristo Sura Deacona huyu Msanii wanaitumia katika maombi yao mbele za Mungu kama sura ya YESU Mnazareti, Pia katika Makanisani Wameweka sura yake ikiwakilisha uwepo wa Yesu.

Mkuu nilitaka kusema ubadilishe msemo useme machapisho mengi ya ukatoliki yanapicha ya Brian akitajwa kama Yesu. Lakini nikagundua umesema Ukristu neno ambalo ni la ukatoliki.

Ukristu uko katoliki.

Lakini Mungu amekataza ibada ya sanamu iwe y akuchonga ama ya kusubu. Sasa wanaosujuia hayo masanamu yakuumbwa na mapicha wanapashw akujua kwamba wanasujduia misanamu ambayo ni machukizo kwa Mungu!.
 
Mkuu nilitaka kusema ubadilishe msemo useme machapisho mengi ya ukatoliki yanapicha ya Brian akitajwa kama Yesu. Lakini nikagundua umesema Ukristu neno ambalo ni la ukatoliki.

Ukristu uko katoliki.

Lakini Mungu amekataza ibada ya sanamu iwe y akuchonga ama ya kusubu. Sasa wanaosujuia hayo masanamu yakuumbwa na mapicha wanapashw akujua kwamba wanasujduia misanamu ambayo ni machukizo kwa Mungu!.
Katika Fikra pana na kubwa hata kuhadithia kunaweza kuwa UKAFIRI, Yesu hakuamuru Injii iandikwe, Quan nayo imeandikwa miaka baada ya Muhamad kupotea. Movie zimekuja baada ya kuonekana maandishi hayatoshi kufikisha ujumbe wote.Maandishi ni mazuri kuhifadhi kumbukumbu,na yalikuwa ni option ya kipindi kirefu nyuma.Picture na Movies zinasema milions of things.Inaruhusu mtazamaji na msikilizaji kuweka fikiri na kujenga taswira. Dini zote zilipoanzia na zilipo sasa hivi kuna tamaduni tofauti, Hayo maandishi bila kujua tamaduni za mwanzo ktk maendeo dini ilianzia ni ngumu sana kuelewa au hata kufikiri.

Tatizo la hizi nchi za kidictator na kijamaa ni kwamba wanaogopa kweli.ndio maana waandishi wao ni km watoto wa chekechea. Ila Arts,Literaure, culture ,philosophy ni masomo muhimu sana kwa wenzetu. ndio maana wana tools nyingi sana za kuweza ilimisha watu wao kwa pamoja.Kwa tuliokumbatia fikra za kishetani tupo ktk utumwa wa kiakili.Ni ngumu kuona jinsi gani movie ina complement. Ni km kumwambia mtu wa kijijini kuhusu skyscrapper, taa za umeme,au ndege.Kwa ujumla kuna ndoto watu wa africa hawawezi ota kwa vile hawana visual model.
 
Na kuna madai mengi kuwa bibilia inabadilishwa kila baada ya miaka kadhaa ukichukua bibilia ya zamani kidogo na ya Sasa kuna Baadhi ya mistari inapishana je na huu ni ukweli?..
Maandishi ya mwanzo kbs ya biblia yapo sehemu gani hasa au ni yapi hasa
Madai yao ni kama propaganda za ccm kwa chadema.Ni wajinga tuu wanaotaka pata faida ya bei rahisi kidini,wakidhani wataonyesha dini yao kuwa original. Lugha zinabadilika sana, kwa hiyo tafsiri za biblia lazima ziendane na wakati ili vizazi vipya vizipotee. kiingereza chenyewe tuu cha zamani ulimi unaweza ukatike kuongea. Biblia ipo ktk lugha mbili kiyunani,na kiebrania. Hizo copy zipo palepale.
 
Na kuna madai mengi kuwa bibilia inabadilishwa kila baada ya miaka kadhaa ukichukua bibilia ya zamani kidogo na ya Sasa kuna Baadhi ya mistari inapishana je na huu ni ukweli?..
Maandishi ya mwanzo kbs ya biblia yapo sehemu gani hasa au ni yapi hasa
Madai yao ni kama propaganda za ccm kwa chadema.Ni wajinga tuu wanaotaka pata faida ya bei rahisi kidini,wakidhani wataonyesha dini yao kuwa original. Lugha zinabadilika sana, kwa hiyo tafsiri za biblia lazima ziendane na wakati ili vizazi vipya vizipotee. kiingereza chenyewe tuu cha zamani ulimi unaweza ukatike kuongea. Biblia ipo ktk lugha mbili kiyunani,na kiebrania. Hizo copy zipo palepale.
 
kanisani ss tumejawa na uzuzu...et tunamuabudu picha ya huyu jamaaa.......upuuz mtupu
 
Ama kweli tulikua enzi za zama za ujinga wakristo zindukeni.
ISLAM IS A REAL RELIGION IN THE WORLD WIDE.
We don't talk or discuss about the real religion but we talk and discuss the glory of God. religions are just institutions created by human being with special purposes including yours
 
Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!

Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.

Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.

Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
Anafanana na yesu hebu hiyo picha ya yesu tafadhal
 
Back
Top Bottom