Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Siruki namba mkuu kufikia namba kumi kabla ya 1,2,3... kwaio ndo nikaamua kuelezea hali halisi ilivyo.Haha, ndio unavyojitoa?Nyumba nyingi za waislam ipo, magari ya waislam yamejaa.Wanaamini ndie farasi muhamed alipanda nae ktk mwezi. Ttaizo ni kwamba unajarbu kuwa mnafiki km wenzio.Hata wakristu wanaweza sema hivyo, kwa vile sio wote wanaoamini picture ya yesu imepigwa kwake yeye mwenyewe. Kuna mengi mkuu ,huo ni mfano tuu nimeweka ili watu wajifunze kuwa fair na kusema vitu wakiwa na akili timamu.