Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Lakini jamaa kiukweli alijitahidi sana kama main character wa hiyo film.

Kiasi kwamba kiimani film ile kwa mafundisho ya watoto inawajenga sana kiimani.
 
Lakini jamaa kiukweli alijitahidi sana kama main character wa hiyo film.

Kiasi kwamba kiimani film ile kwa mafundisho ya watoto inawajenga sana kiimani.
Sio yawatoto tu kuna kipindi jamaa kwenye maigizo behind the scene washiriki wengine walikua wanagoma mpaka kampuni iliyokua na tenda ya Ku andaa filam walimuomba aongee na wenzake wakiamin atawashawishi kwa jinsi alivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5a3209da595609ed0a5a4d4c3c12c237.jpg
 
Kuna kitu unakitafuta wewe subiri waje wakushambulie kama mpira wa kona
 
Hiyo ni depiction tu na wala watu hawawezi kuiabudu picha hata siku moja.., anayeabudiwa ni Mungu pekee.., by the way hivi marehemu muddy alikuwa anafananaje kwanza kwa sababu nasikia tu watu wakimswalia sasa utamswalia vipi mtu ambaye hata hufahamu alikuwa akifanana vipi?
 
Mitume na Manabii karibu wote wanaopatikana katika Biblia takatifu, wametengenezewa filamu ya kuigiza matendo na maneno yao.
Ziko filamu za Manabii na Mitume kama Nuhu, Ibrahimu, Lutu, Isaka, Yakobo, Musa, Haruni, Yoshua, Samweli, Daudi, Sulemani, Eliya, Elisha, Yesu Kristo, Paulo, nk.
Kila mtu anaelewa kuwa Wahusika wa Filamu hizo ni wabandia tu na sio Manabii au Mitume halisi.
Filamu hizo zinasaidia kwa watu ambao hawajui kusoma au wasioona kupata ujumbe kwa njia ya Sauti za maigizo au picha.
Mtu anayewaabudu wahusika wa filamu hizo ni mtu mjinga ambaye hana uelewa wowote ule wa maswala ya Ibada.
 
Huyu ndiye aliyetufanya tukaijua dini mkuu hana shida yoyote,,, tunaomba maswali yako tukujibu
 
Google HOW CATHOLIC CREATED ISLAM? Ukiwa na akili za mwizi kumtaja mwizi mwingine akidhani kwamba yeye kwa vile hajatajwa basi anakuwa sio mwizi.Utakuwa ktk njia mbaya km ngamia wa kafara.
Hiyo post ya Google ni gospel kwako?
Unajua nani kaindika
Wajua Waislamu ndio waliowatimua Holy Roman Empire toka Babylon Palestina na Jerusalem
Jiongezee kidogo
 
Sasa cha kushangaza ni kipi,, Brian decon ame play role kubwa sana katika kueneza dini na kufanya dini ijulkane karibia kila kona ya Dunia
 
Back
Top Bottom