Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio yawatoto tu kuna kipindi jamaa kwenye maigizo behind the scene washiriki wengine walikua wanagoma mpaka kampuni iliyokua na tenda ya Ku andaa filam walimuomba aongee na wenzake wakiamin atawashawishi kwa jinsi alivyoLakini jamaa kiukweli alijitahidi sana kama main character wa hiyo film.
Kiasi kwamba kiimani film ile kwa mafundisho ya watoto inawajenga sana kiimani.
Hii inaonesha kipimo chako cha iq uliyonayo...!
Hii inaonesha kipimo chako cha iq uliyonayo...!
Kivipi?
Hiyo post ya Google ni gospel kwako?Google HOW CATHOLIC CREATED ISLAM? Ukiwa na akili za mwizi kumtaja mwizi mwingine akidhani kwamba yeye kwa vile hajatajwa basi anakuwa sio mwizi.Utakuwa ktk njia mbaya km ngamia wa kafara.