Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jamaa umetoa wapi hizo habari....Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!
Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.
Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.
Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
main character wa passion of chridt ni nanHata mimi jamaa amenishangaza kidogo aliposema Mel Gibson ameigiza hiyo filamu. Najua huyu mtu ni director wa filamu maarufu za "Passion of Christ" pamoja na ile ya "Apocalypto"
islam is the branch of vaticanAma kweli tulikua enzi za zama za ujinga wakristo zindukeni.
ISLAM IS A REAL RELIGION IN THE WORLD WIDE.
islam is the branch of vatican
Vatican na Uislamu ni vitu viwili tafauti NDUGU. UISLAMU NI DINI YA HAKI.TUTAKE TUSITAKE.islam is the branch of vatican
Mell gibson ni director brohYupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!
Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.
Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.
Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
Zilikuwapo toka karne ya kwanza...Je kabla huyo bria ajaigiza kama yesu kulikuwa na picha ya yesu? Tafadhali naomba jibu kwa anaye fahamu
Kama sura ya Musa inajulikna itakuwa ya Yesu..??Nimebarikiwa na profile ya brian but we have to keep in mind kuwa hakuna ajuaye sura ya yesu halisi
Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!
Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.
Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.
Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
Tasnia ya uchoraji au kipaji cha uchoraji hakikuanza hivi karibuni...Wachoraji walikuwa tokea kuumbwa kwa ulimwengu..Muhamad sio kitu cha kuigiza hata huyo yesu ni makosa kumuigiza sababu hakukuwa na picha enzi za mitume.hivyo kutoa image za kumfananisha ni kinyume
Ki vipi..??islam is the branch of vatican
Jim Caviezel unamfahamu?Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!
Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.
Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.
Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.
Pichaa za kaline as nyuma zinasemekana yesu na Maria walikuwa weusi...na si wazungu kama ilivo sasa, kwa walio fika st.Peters basilica Roma wanaweza kusema chochote ...Unataka kuniambia before jamaa hajazaliwa 1949 machapisho ya kiroho yalikua na picha nani?? au hayakua na picha??