Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Bado hainiingiagi akilini niliwezaje kudanganyika namna hii na kuamini kitu kisicho cha kweli, hadi kesho nikimwaza Yesu ananijia katika sura ya huyu jamaa, wazungu wametuharibu sana akili pumbavu zao.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna kipnd kwel nilidanganyka ila nilistuka mapema lakn wazaz walikua wananiwekea ngumu na kusema "uyu mtoto pumbavu sana" na ukishangaa na makofi unakula
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]
 
Tena huyo jamaa ni mtu mihumi ana matatoo yaani huyu mtu ame corrupt hata mindsets wasomi wa kileo kiasi kwamba ukimpa PHD Older au hata Professor elfu kumi kisha umwambie niletee PICHA ya Yesu bila hata kujifikitia atakuletea pic ya huyo jamaa

Hapo ndio utaamini kuwa mtu anatawaliwa Kiroho
 
Bado hainiingiagi akilini niliwezaje kudanganyika namna hii na kuamini kitu kisicho cha kweli, hadi kesho nikimwaza Yesu ananijia katika sura ya huyu jamaa, wazungu wametuharibu sana akili pumbavu zao.

Sura ya Yesu Ili kuwepo toka karne za mwanzo kabisa za Ukristo.....

Infact huyo muigizaji ametafutwa ili ku-fit kwa sura ambayo ilikuwako karne na karne
 
Hapo ndo huwa naamini hizi dini ni miradi ya watu kupiga pesa.

Roman Catholic pamoja na kua na maaskofu wasomi na wenye PhD

Bado wameshindwa kutambua wanavaa misanamu ya Deacon badala ya yesu mwenyewe
 
Pia maisha yake ya ndoa aliacha mke (alimtariki mke wake). Aisee huyu jamaa decon .

Hivi kwanini wakristo hasa RC hutumia picha take kama utambulisho Wa Yesu? Pundits Wa maswala ya dini naomba majibu.
 
Pia maisha yake ya ndoa aliacha mke (alimtariki mke wake). Aisee huyu jamaa decon .

Hivi kwanini wakristo hasa RC hutumia picha take kama utambulisho Wa Yesu? Pundits Wa maswala ya dini naomba majibu.
Niupotevu wa hali ya juu naona shetani alipitia apo ukishangaa watakupigisha na picha ya yule kahaba wanayedhani ni Mariam mala Yoseph. Upumbavu wa kiwango cha PHD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…