kibaa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 717
- 178
well saidKwani kuna mtu yoyote aliyeamini kuwa huyo ni Yesu?
Hakuna!kama yupo akapimwe Akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well saidKwani kuna mtu yoyote aliyeamini kuwa huyo ni Yesu?
Hakuna!kama yupo akapimwe Akili.
Toa Oja kama sio kweli?Uwezo wako wakufikir ni mdogo sana.
Kubishana na mtu km ww usiejua unachokiandika ni kupoteza muda.
Sio Ushabiki ndugu acha Jazba na Tafakari hayo maneno Usijenge msimamo bila Kujua Ukweli wa Msimamo wako!!We nawe hebu kabla hujapost ujuha wako uwe unauliza, unasoma zaid au unauliza na sio kuja kishabiki...
![]()
Anaitwa Brian Deacon
Amezaliwa 13 February 1949 Huko Oxford
Uingereza, Baba Yake Anaitwa Robert Thomas
Deacon Ambae Kitaalamu Alikuwa Fundi
Magari, Mama Yake Anaitwa Eileen Mary
Ambaye Alikuwa Nesi, Brian Deacon Ni Mtoto
Wa 2 Kuzaliwa Ktk Familia Yao, Brian Deacon
Alioa Mke Wa Kwanza Mwaka 1977 Aitwae
Rula Lenska Ambae Amezaa Nae Mtoto
Aitwae Lara Brian Deacon, Lakini Mwaka 1982
Mkewe Alimtuhumu Mumewe Kutembea Nje
Ya Ndoa Na Ndoa Yao Kuvunjika, Alikaa
Miaka 16 Na Hawara Yake Cecy Redknap
Mpenzi Wake Wa Muda Mrefu, Mwaka 1998
Alioa Mke Mwingine Aitwaye Natalie Block
Mpaka Leo Wako Pamoja, Msanii Brian
Deacon Alipata Tenda Ya Kuigiza Ktk Filamu
Kama YESU, Filamu Alizowahi Kushiriki Ni A -
Zed & Two Nought Mwaka 1985, Feather
Seapent Mwaka 1976, Lillie Mwaka 1978 Na
Nk,
Wakristo Wengi Sura Ya Huyu Msanii
Wanaisujudia Ktk Maombi Yao, Ktk
Rozali,BIBLIA,Makanisani Wameweka Sura
Yake, Ndugu Zangu Zindukeni Huko Sipo, Vipi
Msanii Wa Filamu Mumsujudie Ktk Makanisa?
Jamani Enyi Watu Jueni Ukweli huu Mbona Uko wazi kama Jua la Saa 6 Mchana!!!
![]()
![]()
![]()
Wewe unaujua ukweli wa ulichoandika?!!!Sio Ushabiki ndugu acha Jazba na Tafakari hayo maneno Usijenge msimamo bila Kujua Ukweli wa Msimamo wako!!