ishadiliwa kama mara elfu moja hii ishu humu...acha kurudia mada mzagao bana kabla hamjaanza kupost topics ebu ingieni google kwanza msearch key words za topic yko ili ujiridhishe kama ilishajadiliwa hapa jf au la au hata humu humu jf ukisearch kweny iyo search bar yao utaletewa topic zenye neno brian deacon km mia hivi zote zinaongelea mambo yanayofanana kumuhusu...haya kama unataka kujua wadau walicomment nini tafuta hizo uzi humu.ukicomment uko utajiupdate hapa na mjadala unaweza kuendelea,sio lazima ulete uzi mpya km huna idea ya mada mpya bora ubaki kuwa mchangiaji tu.
Shukran!