Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

ishadiliwa kama mara elfu moja hii ishu humu...acha kurudia mada mzagao bana kabla hamjaanza kupost topics ebu ingieni google kwanza msearch key words za topic yko ili ujiridhishe kama ilishajadiliwa hapa jf au la au hata humu humu jf ukisearch kweny iyo search bar yao utaletewa topic zenye neno brian deacon km mia hivi zote zinaongelea mambo yanayofanana kumuhusu...haya kama unataka kujua wadau walicomment nini tafuta hizo uzi humu.ukicomment uko utajiupdate hapa na mjadala unaweza kuendelea,sio lazima ulete uzi mpya km huna idea ya mada mpya bora ubaki kuwa mchangiaji tu.
Shukran!
Wacha iwe mara ya 1,001
 
Wewe unasema aliezaliwa 1949, picha imekuwepo hata kabla ya mwaka 400AD.
Hivi kwa nini usitumie muda wako ukahubiri dini yako. Dhihaka si busara.
Dhihaka unafanya wewe kwa kuabudu masanamu badala ya Mungu !
 
Uhalisia wa imani ya mtu hua umo ndani ya moyo wake. Mimi sibishani na wewe kwani ntawakosea waislamu wasio na hatia kama hizo zako.
Make hutochelewa kusema dini safi ni uislamu
Qur'an: 30:30, huo ndio ukweli !
 
Hii ilishajadiliwa zaidi ya Mara 3 humu. Mtoa mada nadhani ungepitia post za wengine zakumuhusu Brian Deacon ungejua hakuna kipya ulicholeta....!! Utaishia kejeli zitazidi hapa maana majibu mazuri yalishatolewa katika mada ziizopita
JF kila dakika wanaingia wanachama wapya, haswa kipindi hichi cha Android na interrnet bundles !
 
Ukweli Ni kua wakristu (Wakatoloki) Hua tunamwabudu Yesu alie HAI (Yesu Mfufuka) tunaweza kufanya hivyo mbele ya Sanamu au kitu chochote ambacho kinaimarisha zaidi Mang'amuzi yetu kuhusu Upendo wake Mkuu kwetu .
Mbele ya sanamu !? ........hujui kuwa sanamu ni sanamu na si vinginevyo !??
 
Mbele ya sanamu !? ........hujui kuwa sanamu ni sanamu na si vinginevyo !??

Wapo wanaoamini kuwa mwezi ni mtakatifu. Wakisahau kuwa ni sayari tu. Pia wanaamini kuwa ukichoma makaratasi yalimoandikwa wanayodai ni matakatifu ni kufuru na unastahili kuuawa. Wanasahau kuwa hayo ni makaratasi yaliyotengenezwa na binadamu. Hivyo Wanaabudu makaratasi kazi ya mikono ya wanadamu. ZOTE NI IMANI.
 
yaani mtu aliyeigiza kama Yesu...wewe unamuita Yesu wa Bandia!?...kwani tangu lini alisema yeye ni Yesu!?, ....unaposema wakristo tunamuabudu Brian naomba uombe radhi maana hujui imani ya ndani ya mtu!...utakula matusi yote muda si mrefu
Aisee hali ya hewa itachafuka muda si mrefu
 
France walipiga marufuku uchapishwaji wa picha za huyó mwigizaji katika vyombo vya dini. Lkn sehem zingine duniani kote walilikalia kimya. Naamini imani ya Mungu ipo pale pale, ispokuwa tu kuteleza si kuanguka.
 
2f374f10100dee26f39e226a379bf2e2.jpg
 
Tunamjua.

Si yeye tuu. Wako wengine wengi walioigiza.. hata yule nabii isa ni wa maigizo siye Yesu Halisi.
 
Muhamad sio kitu cha kuigiza hata huyo yesu ni makosa kumuigiza sababu hakukuwa na picha enzi za mitume.hivyo kutoa image za kumfananisha ni kinyume
 
Hawa. Member wapya wana mada za kipuuzi sasa nani hajui kama waigizaji wa character za Yesu wapo?
Wapo zaidi ya makumi walioigiza kama Yesu acha kuuliza maswali ya kishamba.
 
Back
Top Bottom