Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Umerudi na imani zako za kiupatu upatu,zinasobiri uzushi kuhusu wengine ndio wajione kuwa wapo sahihi kwa muda mfupi tuu. HIyo post unajua nilipost ktk hoja gani?Hembu rudi ukasome vyema.Nipo makini kuliko unavyodhani.NIliiweka kuongeza changamoto kwa kanjanja aliyekuwa akibisha kwa hoja za akina ponda waliosambaa duniani.Ambao wapo desperate kutafuta material hata yenye harusu kidogo tuu ya kujinasibu ili watoke na kurukaruka kuwa dini yao ni ya kweli.Hiyo post ya Google ni gospel kwako?
Unajua nani kaindika
Wajua Waislamu ndio waliowatimua Holy Roman Empire toka Babylon Palestina na Jerusalem
Jiongezee kidogo
Hilo la Roman Empire, lina mengi sana.Ila nikukumbushe tuu hata mbwa wako anaweza kuuma na kuua. Roman empire ilianza kufa kwa mambo mengi.Watawala waliendekeza anasa na ukatili. Ila pia walilaaniwa ,laana inaweza pelekea kuumwa na mbwa,kuumwa na nyoka.Haimfanyi nyoka kuwa mtu.Ila akiamuru Mungu hata shetani anatii.HIvi wewe ukimkanya mwanao asifanye ujambazi na kumlaani km atafanya tena.Kisha akauwawa ktk mgao na jambazi mwenzie. Utaweza kudai kuwa jambazi mwenzie ni askari mlinda sheria au huyo jambazi ni malaika?Hata spain uislam uliingia ukamkuta prince wa huko anakula starehe.Matokeo yake wakatawaliwa zaidi ya miaka 500, makanisa yakawa misikiti,waispania wakazalishwa na kusilimishwa,waliokataa uislam wengine waliuwawa,wengine wakalipishwa kodi ya kichwa.
Ila wazungu wachache waliobakiw akaonyesha kuwa smart kuliko vichwa maji wa kiarabu. Waliwageuka simu moja.Na kuwafanyia hivyo hivyo,ama wawe wakatoliki ama wauwawe, ama wahame spain. Wakarudisha makanisa yao, na misikiti mingine ikawa makanisa km kawa. Na madanguro yao km zile bafu za harem kule zenj,yakachukuliwa .Hadi leo spain inaangaliwa kwa jicho fulani na waarabu.Nao wanawaangalia kwa jicho fulani.Spain wakisinzia jamaa wanarudi kumwaga tena damu,mzunguko unaenda hivyo hivyo.
Waarabu hawajakoma hayo majaribio.Enzi hizi za hela za mafuta, wameanza tena ji behave vibaya ktk dunia.Ila wazungu wanawaangalia vyema sana. Bado shetani aliyepo ndani yao anawatuma kulipiza,anawatuma kwa nguvu sana kutafuta namna ya kudhalilisha imani za Mungu aliye tofauti na mungu wao.Wakipata nafasi ya kutumia hela vibaya lazima aende kwa namna ya ugaidi.Wakinunua timu wanafanya kwa nmna ile ile, na kununua majengo ya ibada,kumwaga hela ktk namna ya kivita.Wazungu wame documente vyema sana. Ni timing tuu,wakishasababisha vita kila front then wakianza malizwa kila mtu duniani atafurahi.Kwa vile India wahindu wana shida, Myamar wabudha wana shida, ulaya wakristu na atheist wana shida. Africa wakristu ,wapagani wana shida, uchina wabudha wana shida, thailand wana shida, israel na duniani kote wayahudi wana shida. Its a matter of time, vita itakuwa kila front,wazungu watatembeza kibano na kufuta nyayo zote za muarabu.