Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja Party (UP)

FDR franklin delano roosevelt wetu Ndio Huyu!BADO mdogo kwa umri!kwa Sasa ana miaka 49 Hadi 2025 atakuwa na miaka 52 ukijumlisha na 12 atakuwa na miaka 64!!ngoja Tuone!!
 
Iwapo Chadema wangekuwa makini wajaze haraka pengo la kuwabeba wanyonge kifalsafa halafu waachane na sera nyepesi za kumchafua Magufuli all the time na kuwananga wasukuma na kanda ya ziwa hailipi kisiasa. Wajikite kuibua falsafa mpya ya kuwatetea wananchi wa chini kama enzi za dr Slaa,kupitia katiba mpya, kuibua ufisadi, maonevu na dhana ya haki mtambuka. Agenda hizi wasipoziwahi si muda mrefu CCM ilivyo makini itavifanyia kazi mapema km enzi za awamu ya tano na wataendelea kusindikiza siasa ni Agenda na falsafa sahihi.Asubuhi njema
 
Mtu anakwambia hivyo vyama vyengine vyote ni matawi ya ccm au wanatumika na ccm ila ajabu unakuta wanashirikiana na vyama hivyo hivyo kupambana na huyo huyo ccm, tumeona Ukawa ila pia tukaona ushirikiano wa Chadema na ACT.

Siasa za bongo sio za kuzichukulia serious kabisa.
 
Mmmmmmh either kimekuja kupunguza kura za Chadema au kuna kundi kubwa toka mboga mboga ambalo halikubaliani na mkulima mkuu
 
Chadema imekufa ila magufuli legacy inaishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…