Mkuu ninakusoma kwani wewe ni moto mara moja. Hurembi wala hukopeshi. Kuleta mabadiliko si lelemama.
Kada uliyoiangazia ndiyo iliyofaulu kuleta mabadiliko kulikoshindikana. Kule ambako shoka lilivunjika lakini mpini ukabakia pale pale 😁😁.
Hao ndiyo walioleta Mapinduzi duniani. Ongelea Russia, Ufaransa, China, Zanzibar na sehemu lukuki. The Lumpen Proletariats.
Lumpen Proletariat, (German: “rabble proletariat”), according to Karl Marx in The Communist Manifesto, the lowest stratum of the industrial working class, including also such undesirables as tramps and criminals.
View attachment 1997849
Hao ndiyo hiyo mitu. CCM wanawaogopa kuliko ukoma. Juhudi zote zinafanyika kuhakikisha hawafikii kwenye mawazo kama yako.
Ulipo ni mwanzo mzuri.
Hapa ndipo wengine wanapopotea maboya.
Ninaunga mkono hoja:
"Kama kuna mmachinga humu na anakubaliana na hoja zako tujuane na tujikusanye kwa ajili kufanya maamuzi haya magumu."