Hilo nalo neno......................
Kwa kuwa inajulikana kuwa Mwigulu Nchemba original, yule msukuma, ambaye inasemekana 'alimuazima' cheti chake cha darasa la saba, ndiye alisheherekea birthday ya kufikisha miaka 40, mwaka jana.
Huyu Madelu Lameck aka Mwigulu Nchemba, anayesemekana anaandaliwa Urais, itakapofika Oktoba mwaka huu, inasemekana ndiyo atakuwa ametimiza miaka 39.
Matakwa kwa mujibu wa katiba yetu ya nchi, inamtaka mgombea yeyote wa Urais, hapaswi kuwa na umri wa chini ya miaka 40, wakati anagombea nafasi hiyo ya juu kabisa ya nchi yetu.
Sasa huyo Mwigulu, anapaswa kwanza atatue utata huo wa umri wake, kabla hajafikiria 'kuuota' huo Urais.