Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Mwigulu kazini!
Huu mfumo wa team ndiyo utakuja kuwazika.
Chama kimekuwa kama hakina mwenyewe vile i.e hakuna viongozi wa chama wa kupiga haya madudu team yanayoendelea.
Ccm hakuna raisi zaidi ya Lowassa,niko upinzani nasema wasipomsimamisha lowassa ccm inaangukia pua,aminini msiamini.
Hilo nalo neno......................Kwani Mwigulu ana miaka mingapi?
Hilo nalo neno......................
Kwa kuwa inajulikana kuwa Mwigulu Nchemba original, yule msukuma, ambaye inasemekana 'alimuazima' cheti chake cha darasa la saba, ndiye alisheherekea birthday ya kufikisha miaka 40, mwaka jana.
Huyu Madelu Lameck aka Mwigulu Nchemba, anayesemekana anaandaliwa Urais, itakapofika Oktoba mwaka huu, inasemekana ndiyo atakuwa ametimiza miaka 39.
Matakwa kwa mujibu wa katiba yetu ya nchi, inamtaka mgombea yeyote wa Urais, hapaswi kuwa na umri wa chini ya miaka 40, wakati anagombea nafasi hiyo ya juu kabisa ya nchi yetu.
Sasa huyo Mwigulu, anapaswa kwanza atatue utata huo wa umri wake, kabla hajafikiria 'kuuota' huo Urais.
Nasikia KICHEFUCHEFU Na Hamu Ya Haja Big!