Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Tubuni mkasafishwe na Damu ya Yesu ili muokolewe
Halafu usikute unasali kwa Gwajima! Halafu unahubiri kuokolewa! Hapo ulipo unajifanya huna dhambi! Kwenu nyinyi dhambi ni pombe tu! Na kwa sababu mnatambua fika Wakatoliki wengi wanakunywa! Tena wakati fulani bila hata kificho.

Kugongana nyinyi kwa nyinyi, wala siyo dhambi, tena kwa kisingizio cha kufanya maombi ya usiku! Mkigongwa na Mkatoliki, ndiyo dhambi!!
 
Niliwahi kumpokea kwangu na mkewe Rose nilipokuwa naishi Kimara. Alinielezea misimamo yake mingi kwa hoja na nilimkubalia baadhi. Mingine tulikubaliana kutofautiana kwa heshima na kuendelea kuheshimu tofauti zetu.

Aidha, nilimshirikisha kazi ya ushauri niliyoipata CHADEMA ya kuwaandalia sera za chama zilizokuja kuzinduliwa 2004 baada ya Freeman Mbowe kupata uenyekiti. Alipenda sana harakati na mabadiliko ya kisiasa. Poleni wote kwa kumpoteza mtu mwenye fikra huru na pevu!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Naam

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Simjui vizuri Padre Karugendo wala Askofu Niwemugizi. Ila nahisi kuna tatizo kubwa somewhere. Hizi kazi zinachukuliwa for personal glory instead of leading the shepherds to the lord. It is veru strange for a person to use confession against a person who confesses. That is what is termed as sin against the Holy Ghost. kama ni kweli, kuna shida kubwa sana.
 
Sawa.

Unamaanisha uongozi wa juu wa Kanisa Katoliki hupokea tu report na kunifanyia kazi bila verification yoyote!!?

Kwa mujibu wa andiko, adultery ni moja kati ya makosa sita aliyoshitakiwa nayo. Ukiwa mtu uliyefuatilia hii case kwa ukaribu kama ulivyosema, je, makosa yote sita alisingiziwa?
 
Hakuna sehemu nimesema Fr. Karugendo alikuwa excommunicated lest asingeruhusiwa hata kufunga hiyo ndoa. Ninaongelea abuse ya Sakramenti ya Kitubio kama ingefanywa na Askofu Niwemugizi angekuwa excommunicated right away.
 
Wewe ni kasuku hujui maandiko matakatifu
 
Hakuna contraceptive ambayo ni 100% effective.
Kwanini tusitumie ambayo ni more effective than the other. Ni hesabu gani inatumika kutumia yenye 86% effectiveness kuliko yenye 99% effectiveness.
 
Hukumu ya kuvuliwa daraja la upadre kwa Karugendo haikunishangaza, alikuwa anaandika sana kupinga msimamo wa mwajiri wake kuhusu matumizi ya kondomu.

Naamini hakuonewa, nilimsoma na kusikia misimamo yake alipohojiwa na redio moja ya kimataifa.

Vv
 
Kwanini tusitumie ambayo ni more effective than the other. Ni hesabu gani inatumika kutumia yenye 86% effectiveness kuliko yenye 99% effectiveness.
Logically, kama zote hazipo 100% efficient then hakuna ambayo ni salama.
 
Huyo Askofu is an offspring of a devil. Ndio maana shetani mwenzake alimpa wakati mgumu.
 
Unamaanisha uongozi wa juu wa Kanisa Katoliki hupokea tu report na kunifanyia kazi bila verification yoyote!!?
Mkuu naona niliposema kwamba hao viongozi wa juu ndio wanaamua papa aone nini kwenye ripoti haukunielewa. Isitoshe the late alisema kwamba hakupewa chance rasmi ya kujitetea hivyo walikua huru ku-mould hizo ripoti watakavyo. Hata ungefanyika utafiti haohao viongozi ndio wanaoorganize hizo tafiti.


Kwa mujibu wa andiko, adultery ni moja kati ya makosa sita aliyoshitakiwa nayo. Ukiwa mtu uliyefuatilia hii case kwa ukaribu kama ulivyosema, je, makosa yote sita alisingiziwa?
Sijakataa kwamba the late alifanya makosa, pitia maandiko yangu khs hii issue utagundua hilo. Ninachosema ni unfair play ilochezwa na huo uvunjifu wa kanuni za kitubio.

Kutumia confession za Fr kwenye kesi na kuandika ile barua ya kuomba kufunga ndoa bila idhini yake wewe kwako unaona hio kitu iko fair?

Ndio maana nikasema RC kuna autocracy fln kwenye level ya majimbo ambayo inazaa double standards, hizi issue zinaanzia kwenye malezi humo seminarini ndg na kuu na watu wanakua nazo hadi ukubwani.
 
Bahati mbaya tunamsema mtu ambaye sasa hayupo,lakini kuna njia nyingi za kukata rufaa hadi kwa Baba mtakatifu kama umeonewa na Karugendo ni mtaalamusheria mbobezi.Nashangaa alivyonyamaza na kubaki akilalamika huko Magu.mtu akisha kufa na lake halipo kuendelea na mada hii ni kupoteza muda na tutakuwa hatumtendei haki marehemu.
 
Huyu askofu aliyemuondolea sakramenti ya upadrisho, angepigwa chini mara moja na mkuu wa Vatican.
 
Una uhakika gani kuwa alitumia maungamo kumhukumu. Huyo mwendazake alikuwa mjanja, alitafuta namna ya kumsulubu askofu wake (ili naye aingizwe hatiani). Waliopitisha hukumu walisikiliza pande zote ndio wakahukumu. Kosa lake kubwa ni kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa, tena wazi wazi, redioni na magazetini. Ushahidi upo. Ungekuwa mfuatliaji wa mambo, ungekumbuka alipohojiwa na redio moja ya nje, na akajibu bila chenga. Akiwa arusha. Nadhani alikuwa anaganga njaa
 
Uongo mwingi Sana wameweka hapa. Hizo mahakama wanazosema mbona zipo miaka nenda Rudi. Eti mahakama za kanda zilindwa kwa ajri ya Priva. Fanya utafiti kabla ya kusema. Watu wengine wana chuki zao binafsi
 
kwahiyo padri alitafuna mtu akaenda kutubu kwa baba askofu, baba askofu akaamua kumuangamiza kwa kitubio[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…