ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ukiwa padre huruhusiwi kut.omba......Nimeona hapo huyo padre alipotumia toba ya mwenzake kumuangamiza, ni vyema toba ielekezwe kwa Mungu moja kwa moja na sio kwa mtu wa pili aifikishe.
Mwenyezi Mungu hamchukii mwanadamu mpk asimkubalie toba yake moja kwa moja
Huenda Niwemugizi akifunguka itakuwa balaa!!Yeah.
Sasa hapo kinachonishangaza ni huyo askofu coz yy ndie muungamishaji na yy ndie mfungua mashitaka. No wonder walirusha steps hio kesi na ku-skip tribunal ya kwanza. Ila kwa mtu ambae ameshakaa kwenye system ya katoliki hatoshangaa sana coz kama nlivyosema mwanzo 'hakuna demokrasia' na kizuri unafahamishwa hilo kabla kabisa kwenye viapo vyao hasa kile kiapo cha utii.
Kanisa Katoliki halina mambo ya kutetemekea wakubwa. Kama Mfalme wa England alikaziwa baada ya kunajisi Sakramenti Takatifu ya ndoa, hata Askofu Niwemugizi angewajibishwa kwa kunajisi Sakramenti Takatifu ya Kitubio.Mkuu, Sang'udi, bado sijakuelewa!
Kuna kitu unataka kutuaminisha hapa, huenda kisiwe sawAPrivatus amefariki dunia jioni ya 24 Juni 2021, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, kutokana na changamoto ya upumuaji aliyokutana nayo ndani ya masaa 12.
Changamoto hii ilitanguliwa na homa ya siku tatu ikiambatana na kushuka ghafla kwa kiwango cha sukari mwilini. Kwa kuwa hati ya kifo bado haijatoka hatujui chanzo cha changamoto hii
But it was between him and God and not with people and kwa imani yao na sheria yao alienda kuungama na kama sheria ya kuungama usieleze dhambi za alieungama kwa mtu kwa nn yy alienda kueleza. Kwa hyo nilichoandika kimebase on what was writtenUkiwa padre huruhusiwi kut.omba......
sijatumia tasifida ili nionyeshe uzito wa kosa...
Yaani wanakuwaga na majina Fulani ya kipekee Sana halafu ya kiingereza sijui wanayatoa wapii?[emoji1]WAHAYA mna sifa saana
Imagine hayo majina hata wazungu hawana
Hata kuyatamka tu shida
🙂 🙂 🙂 🙂
wanakamusi za Majina ya kizungu yake maguumu kabisaYaani wanakuwaga na majina Fulani ya kipekee Sana halafu ya kiingereza sijui wanayatoa wapii?[emoji1]
padre inabaki km jina tu au status like mwalimu akiacha kazi au daktari ataendelea kuwa na hiyo statusKarugendo alikiuka kiapo cha useja kwa kuwa na mahusiano na mwanamke nje akijua fika kufanya hivyo lilikuwa ni kosa, usifanye Askofu Niwemugizi aonekane mbaya kwa kumchukulia hatua mtu ambaye alikiuka kiapo hiki muhimu.
Mtu akikosea lazima aadhibiwe kwa kosa lake, ni adhabu ya aina gani atakayopewa huo ni uamuzi wa kiongozi wake, na zaidi kwa nafasi aliyokuwa nayo alionesha udhaifu dhidi ya imani yake, na pia zaidi, kwa wale waliokuwa waumini wake, huyu kama angesamehewa angeweza kuweka "precedence" mbaya kwa Kanisa Katoliki.
Kwangu nasimama na uamuzi wa Askofu Niwemugizi kumvua cheo cha upadri, lakini pia, nilikuwa napenda nipate wasaa wa kukutana nae nimuulize kwanini alikuwa bado anatumia jina la "Padri" kama nilivyokuwa nikisoma makala zake kwenye magazeti mbalimbali licha ya kuwa alishavuliwa hicho cheo na kanisa?
Huyo jamaa alimkosea Mungu na akalikosea Kanisa Katoliki, kama Mungu alimsamehe kwa matendo yake, Kanisa likamuadhibu, sioni tatizo hapo, kukaa na watu wa aina yake kanisa litapoteza thamani yake.P
padre inabaki km jina tu au status like mwalimu akiacha kazi au daktari ataendelea kuwa na hiyo status
Kati ya vitu vigumu kwenye katoliki ni kipengele cha toba aisee ,you see what happened binadamu atabaki kuwa binadamu tu
Hoja yangu ni kwamba kama aliadhibiwa kwa kosa hilo baada tu ya yy kwenda kuungama kama mtoa Uzi alivyoeleza ku na jambo la kujifunza happHuyo jamaa alimkosea Mungu na akalikosea Kanisa Katoliki, kama Mungu alimsamehe kwa matendo yake, Kanisa likamuadhibu, sioni tatizo hapo, kukaa na watu wa aina yake kanisa litapoteza thamani yake.
Mimi silichukii kanisa katoliki but you have to changeKwasababu na wewe unalichukia Kanisa Katoliki
Wewe ni mke wa jamaaWeka ushahidi hapa usilete story za mtaani, hayo maneno matupu hata kwenye kanga yapo.
Nadhani ukishakuwa Padre, hata ukivuliwa daraja la upadre utaendelea kuitwa padre tu.
Nameona kadhaa walioacha na kuendelea kuitwa padre.
Pamoja na hayo, Baba Askofu hakutakiwa kutumia taarifa za maungamo ya Baba Padri kumchukulia hatua! Hii haipo sawa, na nadhani ndio maana wakatoliki "WENGI" hawaungami katika parokia zao!!
mpaka alikuwa na cheo tec nadhani katibu wa baraza la maaskofuYule aliishia njiani hakufika mpaka kupadrishwa, nadhani lakini.