Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Ukilinganisha dhaifu wawili,yule mwenye udhaifu kidogo zaidi ya mwenzie haimaanishi kua ni bora.
 
Moderators futeni nyuzi za ajabu ajabu kama hizi.
 
Masikini bavicha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Salary slip alisema huyu akiondoka atakuwa ana adhimisha kila mwaka siku hiyo.

JK ni rais dhaifu sana. By Mnyika.

Ukifuatulia nyuzi na coment za bavicha humu kabla ya 2015 alafu ukilinganisha na wanachoandika hapa unaweza kufikiri hawa watu hawana vichwa.
 
Hahaha leo mnamkumbuka dhaifu..........hawa ndo wabongo sasa. Enzi zile kila siku mlikua mnakesha mkimponda, leo mnamkumbuka kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
Hao lile jina lao la mbugani usifikirie wametajwa kwa bahati mbaya.

Na kabla ya kuwalaumu juu ya hili la JK kumbuka kwanza lile la Lowasa
 
They don't know what they actually want. Ni kama mtu anayechagua kiatu -- sijui hiki, sijui kile!???
 
Nina uhakika huyu angekua raisi kipindi hiki, mungepinga chanjo.
 
[emoji106]
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Hakuna watu wanafiki kama watanzania..wakiongozwa na ww sikai ekilati..ww n mnafki mzuri sana..kipind huyu yuko pale magogoni hakuna siku inapita bila kumnanga kwa mawe mazito mzee wa watu..uzuri huyu mzee hanaga shobo wala care na upuuzi wa wanafki..huwa anatulia..sasa leo ndo mnakuja..na fyuku fyuku zenu..
Tuondoleeni unafiki wenu hapa.
 
Kikwete hakua dhaifu alikuwa anazingatia utawala wa sheria,alikuwa hawez kumtumbua mtu kwa tuhuma,ndo maana alikuwa anaunda tume za kuchunguza bado mkawa mnampigia kelele anaunda tume nyingi,hakiwa mropokaji Wala mtukanaji wa viongozi wenzake,akipelekewa umbea flani mwizi hakuripuki kumtumbua ndo Happ mkawa mnamwita analinda washkaji zake!
 
Mbona wakati wa utawala wake alilaumiwa sana

Ova
 
Sema Rais wa sasa humpendi kwa sababu zako binafsi na sio kuleta non logical comparison. Itabidi uzoee tu, miaka mitano ndo kwanza inaanza.
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Dah aliyeonekana dhaifu hatimaye kaonekana shujaa...

Mwenyewe alijisemeaga tu.. " mlisema mimi mpole, sasa nimemleta mkali"

Hakusahau kusema "mtanikumbuka"

Ama kweli kuna kuruka mkojo na kuangukia kwenye mavi, wahenga walisema.
 
Hahahaha...
Mi-5 tenaπŸ™„

Afu 2025 utasikia 'kauli mbiu' mpya:
"Kumi Tena"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…