Huyu ana Utu, hata wakati wa majanga alikua mfariji mkuuDah aliyeonekana dhaifu hatimaye kaonekana shujaa...
Mwenyewe alijisemeaga tu.. " mlisema mimi mpole, sasa nimemleta mkali"
Hakusahau kusema "mtanikumbuka"
Ama kweli kuna kuruka mkojo na kuangukia kwenye mavi, wahenga walisema.
Kwa sababu yeye ndo alikuwa analeta majanga. Huyu wa sasa kashawaambia majanga hajaleta yeye, pambaneni na hali yenu, ebo!Huyu ana Utu, hata wakati wa majanga alikua mfariji mkuu
Mbona hukumuongezea Sasa?Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Mkuu sema ukweli tu kuwa umekosa mchongo wa kupiga ndio maana umekua mkali na sio jingine.Mimi ni mfanyakazi. Kanibana wapi? Ninacho taka kutoka kwa mwajiri ni kutimiza wajibu wake. Nafanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya Taifa, lakini natakiwa pia kupewa stahiki zangu kwa mujibu wa sheria na kanuni za kiutumishi.
Kwa bahati mbaya sana na kwa kutokana na uelewa wake mdogo, huyu malaika wenu ameamua kutudhulumu stahiki zetu. Mwambieni atupandishe madaraja yetu! Ni mwaka wa sita huu anatufanyia uhuni. Tumechoka! Na asipo fanya hivyo, ufanisi wa kazi utaendelea kushuka kadiri siku zinavyo kwenda.
Jimegeni mkamwone pale Msoga anaweza kuwasikilizeni ninyi wazabizabina na ndumilakutatukama angekuwa rais tungeshapata chanjo
Hakuna raisi watakuja kumkumbuka kama Magufuli hawa......Huyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.
Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.
Mara zote hampo sahihi.
Hata sasa hampo sahihi.
Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
Akili za Wabongo wanazijua waoKama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Neby keita agiza bia ntakulipia,,Hukohuko kwa wafanyakazi hasa serikalini, wengi utendaji ulikua 0 watu walijisahau kama vile ofisi ni za kwao binafsi ufanisi ushukaje tena wakati enzi hizo mnapata marupurupu ndo ufanisi ulikua bogus kabisa bora hata sasa.......ila kama vipi unaona kwa sasa pagumu acha kazi jiajiri hako kadogo unachopata kuna madogo mitaani wanasaka upenyo wapate kama unachopata wewe.......mshakusanya mitaji achieni tu nafasi wengine kama mnaona hapasomeki
Tume,tume,,mtu anaiba million 100,mnaunda tume inatumia milioni 300,?!, huo ni upumbavu,Kikwete hakua dhaifu alikuwa anazingatia utawala wa sheria,alikuwa hawez kumtumbua mtu kwa tuhuma,ndo maana alikuwa anaunda tume za kuchunguza bado mkawa mnampigia kelele anaunda tume nyingi,hakiwa mropokaji Wala mtukanaji wa viongozi wenzake,akipelekewa umbea flani mwizi hakuripuki kumtumbua ndo Happ mkawa mnamwita analinda washkaji zake!
imhotep amelike kumbe jamaa yupo?Huyu mzee wetu nakumbuka mlikashifu Sana kufikia hatua katibu mkuu wa Sasa wa chadema kutamka bungeni kuwa ni Dhaifu.
Napata mashaka Sana na maamuzi yenu.
Mara zote hampo sahihi.
Hata sasa hampo sahihi.
Muda utaleta majibu kuhusiana na haya mnayoyafanya sasa.
Wako sahihi,fukuza mke wako wa kwanza halafu oa mwingine,uangalie maisha yataendaje.Watanzania bana, mara wanakuponda na kukukanyaga kanyaga. Hujakaa sawa, wakunyayuwa na kukufinyanga vizuri huku wakikupamba kwa maua.
Si mlikuwa mnasema dhaifu nynyi!!!!Leo vipi ???????????Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
Huyu Mzee inabidi tumwombee sana Mwenyenzi Mungu azidi kumpa maisha marefu zaidi hapa DunianiKama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu
View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.