Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

Kama huyu JPM angezingatiaa maendeleo ktk watu basi angechukua marks zote, wala ata huyo JK asingekumbukwa, lkn huyu mzee anataka tuishi km mashetani unafikiri kwann JK aasikumbukwe.

Kla nkikukumbuka kipnd cha JK mwaka wa fedha ukichungulia account namb imetikisika, hakna idara nchi hii ambayo haikuwa na semina za mara kwa mara yan inshort JK alitaka keki ya taifa tuile wote ingawaje alikuwa sio mkali kiviile.

Raisi ajaye baada ya JPM (cjui atakuwa mwinyi au majaliwa) ili apate kiki vizuri ktk hili taifa inatakiwa awe na roho Zote, roho ya ukali ktk kusimamia serikal, na roho ya kuangalia maendeleo ktk watu mishahara, nyongeza, ajira akifanya yte ya ukali ktk Utendaji na kujal maendeleo ya watu basi JPM atasahaulika kabisaaa. Ila akisema angalie maendeleo ya watu tu na asiwe mkal bas JPM atakumbukwa kwa kufokafoka
 
Sasa ikawaje mkampeleka ICC?
 
Apumzike tu, alichofanya kinatosha. Angekuwepo yeye, saa hizi watu wangekuwa anaongelea jinsi msaada ya covid ya kifedha ilivyotafunwa.
Si afadhali ungekuwa na uhuru wa kuongelea kuliko Sasa,Benki ya Dunia ili hoji msaada uliletwaje Tanzania wakati uongozi unasema hatuna corona? Fedha zile zilienda wapi? Alafu kipindi hicho tulikuwa na kampeni za urais na wabunge.
 
Tuwaulize waliopeleka mashtaka huko, huyo alikuwa ni rais wangu pendwa na nlkuwa upande wake toka anaongoza hili taifa na ni role model wangu... Nimejifunza falsafa nyng kwake km tunakula keki ya taifa tuile wote, sio wachache wale keki ya taifa wengi wateseke as if haya mapesa ya hili taifa ni ya mali za urithi wa baba ake.

Marais wangu pendwa n wawili tu ktk hili taifa adi sasa n mzee ruksa na mzee Jk. Ovaaa
 
Tabia ya kuwazongazonga wastaafu sio nzuri kabisa.msiwagombanishe na mihimili tahadhari.muachani mzee wa watu ale pensheni yake vizuri eboo.mnataka kumpa mshtuko wa moyo aache pensheni yake??mmenikwaza Sana.

Ova.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu

View attachment 1706913
Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
hivi why katiba isibadilishwe iruhusu hata wastaafu wa uraisi kuwania nafasi...hahahahah tumsrudishe kuliko kuongeza ukomo wa muda wa raisi.............mawazo tu ya utani
 
Mmmh...Alivuruga vibaya...ila alijua kula na vipofu.. .
 
Magufuli amefeli kila kitu
 
Watanzania bana, mara wanakuponda na kukukanyaga kanyaga. Hujakaa sawa, wakunyayuwa na kukufinyanga vizuri huku wakikupamba kwa maua.
Utapondwa pale utakapokosea, kwenye mazuri sifa utazipata. Sasa kidiplomasia na majukumu ya serikali kikatiba juu ya wananchi tukiwalinganisha Kati yake na jiwe bora yupi?
Kwasababu hata hiyo miradi mingine ambayo mnampa sifa jiwe, aliianzisha JK.
 
Hahaha leo mnamkumbuka dhaifu..........hawa ndo wabongo sasa. Enzi zile kila siku mlikua mnakesha mkimponda, leo mnamkumbuka kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
Hata Wanawaisrael walipikuwa jangwani walisahau mema ya Mungu aliyowafanyia wakumbuka walivyokuwa wakila utumwani Misti. That's a human nature mkuu; ukigundua madhaifu ya aliyepiga alafu aliyekuja akawa dhaifu zaidi utasema bora yule aliyepita na kuanza kumsifia. Ndiomana Kuna kitu kinaitwa scale of preference
 
Kila mtu anajali utu,,kikubwa katiba ya nchi iheshimiwe,,kila rais ana style yake unique ya kutawala,,haiwezi kuwa identical,,
Inabidi mzoee tu...
 
Ndio maana Mnyika akamwita dhaifu?
 
JK alikuw na Mapungufu yake but he was a diplomatic, anything happen solved diplomatic way,and he care about workers and their deeds.saiz miradi mingi kwa mkupuo it means Tz unataka ibadilike leo leo.maslahi mengi ya wafanyakazi yamebanwa kwa kisingizio cha kujenga nchi,wakati katiba na mikataba yao ipo wazi inajieleza.Huyu Jk angebadilikia humohumo si alikuw anakosolewa,but now dayz ONE MAN ARMY
 
Ilikuwaje mkampeleka kikwete ICC? Au tushasahau Kama Ana file ICC?
 
Ombwe la Uongozi
 
Watanzania walishakubuhu kwa unafiki mpaka kuwa wapumbavu mkuu
 
Kikwete alikosea kujaza udin mno nyazifa nyeti kama nssf udin wote walikuwa muslims na walikuwa matajiri wengi wengine darasa la saba ushahidi upo wananyumba nne alikera sana na udhaifu watu walipiga sana pesa mfano mhongo na mwanamama tibaijuka walichezea mihela kama yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…