Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Yeaphuyu ndio wazanzibari wanatamani wajitenge na Tanganyika ili awatawale.
Yeah 😂Huyu ndiye alikimbizwa na akina Okelo?
Anaizungumziaje hiyo patashika
Nasubiria majibu
Aandike kitabuHuyu ndiye alikimbizwa na akina Okelo?
Anaizungumziaje hiyo patashika
Alikuwa mdogo sana kipindi hicho maana hadi leo ni miaka 60Yeah 😂
Kabisa ikiwezekana aje tumhoji baadhi ya mamboAandike kitabu
Tupate upande wake wa hadithi
95 years - 60 years = 35 yearsAlikuwa mdogo sana kipindi hicho maana hadi leo ni miaka 60
Arabic converted to english .Shida kiinglish was arrived ndiyo nini?
Sure . Sema too late . Mke atakuwa anajua mengi . Perfect timing ya kuandika kitabuKabisa ikiwezekana aje tumhoji baadhi ya mambo
Mkuu Yoda 、kwanza asante sana kuni tag,uzi huu Huyu ndo sultan wa Mwisho wa Zanzibar
Mkuu Danielmwasi, asante sana kwa bandiko hili, anaonekana ni mtu rahimu sana, aruhusiwe tuu kurejea Zanzibar.Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake .
Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂 . Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu .