Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Upo vyedi sana mkuu.Mkuu Yoda 、kwanza asante sana kuni tag,uzi huu Huyu ndo sultan wa Mwisho wa Zanzibar
Mkuu Danielmwasi, asante sana kwa bandiko hili, anaonekana ni mtu rahimu sana, aruhusiwe tuu kurejea Zanzibar.
Zanzibar ni one of my very special area of interest, yale mambo yangu ya kupenda misosi, nilipita mahali almanusura nisimishwe!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Tukirejea kwa huyu Sultan, kwa vile hakufukuzwa Zanzibar, alijiondokea mwenyewe, he is free kujirudia mwenyewe. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
Kwa vile huyu kosa lake ni moja tuu Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe... tumemuomba。Rais Samia na rais Mwinyi wamsamehe tuu, wamkaribishe Zanzibar aje kumalizia Zanzibar, siku zake chache za maisha yake zilizobakia ili aki... ,a ... Zanzibar.
Mimi mwanajeiefu mwenzenu ni Mzee wa masauti nimeisha elezwa kitu na nikakieleza humu Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said Atafurahi Zaidi, Kama Ata... Zanzibar!, Rais Samia, Rais Mwinyi, Sameheni, Mtabarikiwa Sana!.
Na baada ya kuisikia sauti hiyo, tulituma ombi rasmi kwa Rais Samia Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
Huu sasa ni wakati muafaka huyu Sultan aruhusiwe kurejea Zanzibar.
P