Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exile yenyewe standard hivo kwa miaka hiyo arudi kufanyaje, akae huko huko![]()
Sultan of Zanzibar was our neighbour: English life with a reserved royal resident | The National
Stamp-collecting royal slips away from English resort of Southsea after 50 years to retire in Omanwww.thenationalnews.com
Hapa ni walivyofika UK
View attachment 3121949
Na hii ndio nyumba waliyokuwa wanaishi
View attachment 3121950
hii ni kweli na ni sharti Nyerere alipewa na waingerezaHuyo hakuongoza nchi , Aliyeongoza nchi ni Waziri Mkuu , Mpemba wa Ole ,Muhammed Shamte ambaye alitekwa na Nyerere na kufungwa kwenye jela za Tanganyika kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani , na ndio ukaona Tanganyika hairuhusu Wazanzibari kuchagua kiongozi wao kwani imetekwa na Tanganyika
Na bara zaidi Muhammed Shamte alichaguliwa kwa halali chini ya tume huru ya uchaguzi , lakini wenye nguvu hawakupenda uchaguzi huru uendelee Zanzibar na Tanganyika wakatuletea chama cha kupindua matakwa ya watu chama cha Mapinduzihii ni kweli na ni sharti Nyerere alipewa na waingereza