Huyo hakuongoza nchi , Aliyeongoza nchi ni Waziri Mkuu , Mpemba wa Ole ,Muhammed Shamte ambaye alitekwa na Nyerere na kufungwa kwenye jela za Tanganyika kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani , na ndio ukaona Tanganyika hairuhusu Wazanzibari kuchagua kiongozi wao kwani imetekwa na Tanganyika