Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

Nwakyembe anafaa ili muhongo achukue nishati
 
Mkurupukaji mwenyewe magufuli hawezi kuwa waziri mkuu alafu mnasema kuna mtu anaweza kuwa waziri mkuu wa makufuri?
Magufuli ni fisadi na mwizi wa nyumba za serikali na kwa ukurupukaji wake ameishaisababishia serikali hasara ya mabilioni
 
Ukisha kua na Rais aina ya Magufuli then kati ya hao hakuna anayefaa uwaziri mkuu. This is my honest opinion
 
Waziri mkuu kutoka sisiem wa serikari ya Ukawa? Ni ngumu sana kutokea TZ
 
hizi hesabu kama zinagoma..
Kwa mujibu wa NEC
*idadi ya wapiga kura
=mil 22.7
*idadi ya vituo vya kupigia kura
=64736
*idadi ya wapiga kura kila kituo =450.
HAPA UKIKOKOTOA JUMLA YA WAPIGA KURA
=64736X450
=mil 29.1

muwe mnasikiliza vizuri kinachoongelewa sio mnakurupuka tu kama mmkalia misumari ya moto.
 
Samahani Mkuu hivi Pemba nako kuna maendeleo?!! Nijuze ndugu yangu.
 
Magufuli hashindi urais, hivyo hawezi akawa na waziri Mkuu! Mwakyembe naye hashindi ubunge hivyo hawezi akawa waziri Mkuu! Waziri Mkuu wa Lowassa atakuwa Serukamba (naye itategemea kama atabahatisha kushinda kule K/Kaskazini) na hii itatokana na ukweli kwamba wabunge wa ccm ndo watakuwa wengi kuliko wa UKAWA!
 

Ondoa mwakyembe hapo weka lukuvi alafu ngoma inogile
 
6 anafaa xana zaid ya lukuv na hata hvyo ANGEKUWA UKAWA LAKN VINGNEVYO ATAUONA UWAZR MKUU KWENYE LUNINGA MZEE KASHA INGIA WHITE HOUSE
 
Mie nampa chapuo lukuvi

Sura zile zile za nini? Nina uhakika kuna wabunge wengine ambao ni vichwa, toa surprise ya kuwa kweli kuna mabadiliko hadi ya sura. Sio misura ile ile, watu wanabadilishana tu siti ktk daladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…