DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Rais akiwa Lowasa itakuwa awamu ya PILI awamu wa KWANZA Julius Nyerere
Waziri mkuu Kubenea
Kubenea?? Labda kama unasema Serikali ya UKAWA sio Serikali ya JMT...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais akiwa Lowasa itakuwa awamu ya PILI awamu wa KWANZA Julius Nyerere
Waziri mkuu Kubenea
Hakika unaota ndoto za alinacha.Nani kakwambia Magufuli atashinda Urais hapo Octoba?
Filikonjombe
Agrey Mwanri ndiye anayestahili kuwa waziri mkuu wa Magufuli.
kwasababu anatokea kaskazini? haturudii makosa ya kuwapa hawa walafi wa madaraka na wabaguzi
Kaskazini tena no no no no no no no no kura ya huyo bwana nl ya El
Wameoza samaki wawili tu jamani!!watu wa kaskazini kwa sasa hawafai tena kupewa hicho cheo,maana ni wezi and not trusted people.
hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayewaza lowassa atakuwa rais wa nchi hii, kweli umeishiwa kijana bora utulie tu
Uraisi unapatikana kwa kampeni; kuwalisha watu maneno hata kama ni ya uongo hadi wayaamini. UKAWA hawana ubavu huo wao kazi yao maonyesho na siku zinavyopita wakereketwa wanapoteza imani hata hizo nyomi zitapwaya. Wanazo agenda nzuri na zenye nguvu lakini wamekuwa mabubu hawaziongei kwa nguvu kama wenzo ambao wanabambikizia kitu na kung'ang'ana nacho hadi kinashika; leo sisiem wamekuwa ndio mashujaa wa kupiga vita ufisadi na ndio wachapa kazi na watetezi wa wananchi. Waliolizwa hadi kutoka bungeni wako kibubububu hawajui waongee nini kazi kusifia nyomi lazima ile kwenuMtaishia kunawa tu. Rais wa awamu ya tano ni E N Lowassa
Wameoza samaki wawili tu jamani!!
So tuwanusuru samaki wengine wasiendelee kuoza.