Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moloko hakupewa nafasi wala umuhimu wake kwenye mechi zote mbili.
Ameshapona Ugonjwa wake wa Akili?GENTAMYCINE uje utie neno kwenye huu uzi wa swahiba wako.
Smart AJIla kama kuna ukweli fulani , mechi zote ambazo Moloko anapewa nafasi ya kucheza Yanga huwaga wanashinda mtoa mada una hoja. Hata mechi ya Simba ya juzi alipo ingia Moloko yakapatikana magoli mawili. Kisinda hana anacho kijua zaidi ya mbio tu.
Mechi ya Al Hilal ya Dar Al Hilal walikosa magoli manne ya wazi, Moloko alicheza dakika kadhaa siku hiyo huenda uwepo wake uli fanya Yanga isi fungwe Naamini hata mechi ya Khartoum kama Moloko angecheza huenda Yanga tungeshinda.
Tuliza kijambioKumfunga Simba huitaji Nyota yoyote, timu Ina wachezaji wawili tu Chama na phiri ndio isifungwe? Upeni mpira heshma yake.