Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

Mmhh...!!!
Mkuu kweli tunapita humohumo na DUKAPEL anafukua balaa...ubarikiwe sana.
 
Kumfunga Simba huitaji Nyota yoyote, timu Ina wachezaji wawili tu Chama na phiri ndio isifungwe? Upeni mpira heshma yake.
Dah ogopa Mwenyezi Mungu na Internet. Rudi ujibu hoja yako.Waliokufunga ni hao kweli?Au umegeuka redio ya mbao?
 
Back
Top Bottom