Hivi mnaposemaga kugawa elimu kwa wananchi mnafikiri wananchi hawana uelewa au? wananchi uwadanganyi kitu wanajua vitu kuliko nyinyi mnavyofikiri sema hawajashwishika bado na nyinyi mmekaa kuhunihuni sana.
Sasa unabisha kuwa sio kweli kuhusu huo mkanda au?
Tunapozungumzia elimu, hatumaanishi ya darasani.tunamaanisha uelewa wa maslahi ya kila mtanzania.Ila kwakua wewe umeweka maslahi binafsi unataka kupotosha watu kua tunawaona hawana elimu
1: Hebu fikiri Mwananchi wa kawaida anawezaje kuiba silaha kwa kisu/panga?2: Polisi wanashindwaje kuwakamata?.3: Unahakika polisi hawawajui?. Kama wanawaju, kwanini hawawakamati na kuihakikishia jamii. Tafakari.
Wapi nitapata full video???
Mkuu Kuna wakati ni sh apostles kuhusu tukio fulani niliona kawe darajani Kuna mtu aalzificha silaha msituni, sasa wakati anakwenda kuzitoa Kuna trafik pale ali mbona akawaita polisi defenda zikaja, jamaa akakamatwa nashangaa tukio lile hali kuonekana Ktk habari....mpaka leo kinya
Tunapozungumzia elimu, hatumaanishi ya darasani.tunamaanisha uelewa wa maslahi ya kila mtanzania.Ila kwakua wewe umeweka maslahi binafsi unataka kupotosha watu kua tunawaona hawana elimu
1: Hebu fikiri Mwananchi wa kawaida anawezaje kuiba silaha kwa kisu/panga?2: Polisi wanashindwaje kuwakamata?.3: Unahakika polisi hawawajui?. Kama wanawaju, kwanini hawawakamati na kuihakikishia jamii. Tafakari.
Hata mie ningependa sana niione hiyo full video kuna mambo mengi sana yamefichika kwenye hili
Huo uongo wa kitoto na wa hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu,huo ni muendelezo wa kupinga mahakama ya kadhi tu sioni jambo lingine hapo,huo mkanda umetengenezwa na watu waovu wenye nia ya kujenga chuki baina ya waislam na wasio waislam
na polisi wasilichekee hilo jambo kama wana nia kweli ya kulinda amani ya nchi yetu wawatake hao global publishers waseme walipoutoa huo mkanda na kama lengo lao ni hiyo niliyoeleza hapo juu basi wanaweza kutafuta hoja nyingine ili hilo lengo lao litimie kuliko hiyo style waliyokuja nayo.
Tanzania kwa sasa kuna magaidi wa kichinichini, jeshi la polisi na raia wema kwa pamoja tushirikiane otherwise siku moja hapatakalika huku nchini.
Kwenye baadhi ya nyumba za ibada.
Nashangaa hao viongozi wa hiyo dini ambayo nyumba zao za ibada zinatumika kusambaza hii video hawasemi kitu...
Hii ni mbaya sana!
Umeipata nakala katika nyumba gani ya ibada dini yenu inapenda sana kuchochea machafuko hata rwanda ilikua hivi hivi.
Mmeanza kuja eeh wa upande wa pili shhehe mkuu alosema muulizwe.