Hili Gaidi mdebwedoGaidi gani linasema MH Rais?????hovyo tu naona yanajifananisha na ISIS,,,,,,njaa hizo
Na anyongwe tu huyo jamaa
Jamaa kumbe ni wa ile dini ya ISIS
HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
Chanzo:GPL
Amani haiwezi kutoeka tanzania
Mkuu tupo macho 24/7 hakuna mtu yoyote atakaeleta ujinga
Wewe mkuu kunywa viroba kuwana amani
nngu007
Nakataa kabisa,sijaona autheticity ya hii clip.hii ni propaganda tu,hii ni kutishana tu.sioni mantik ya huu ujumbe,tunaelekea uchaguzi tutaona mengi sana mwaka huu.
Kwani munawaogopa waislam? Nyinyi si mpo wengi nchi hii kweli mnatishika kwa bunduki tano hizi habari zenu zinakuaga mzaa ila mwisho wake ni mbaya sana.
Kuweni makini Watanzania na Video kama hizi kwani inaweza ikawa ni mchezo wa kuwagombanisha Watanzania kwa kuiga masuala ya ugaidi yanayo endelea Duniani.
Hakuna ukweli wowote wa hii Video ni maneno ya mtu alie ficha sura yake na huenda ikawa ni Polisi wenyewe wanacheza mchezo huu ili tu waweze kuwapiganisha Watanzania kwa mgongo wa Dini kwani ndio unatumika zaidi na Wanasiasa Duniani.
Ukweli ni kwamba Tanzania inamatatizo ya kisiasa ila kwakuwa chama tawala kinaonekana kukosa nguvu hivo wanaweza kutumia mbinu yoyote kuwapotezea Watanzania kile wanacho kiamini kitaweza kuwaletea mabadilko.
Tanzania kwa sasa kuna magaidi wa kichinichini, jeshi la polisi na raia wema kwa pamoja tushirikiane otherwise siku moja hapatakalika huku nchini.
Wameweza kuchukua silaha mikononi mwa polisic wakiwa hawana silaha??????? mbona naskia walikuwa na mapanga na visu inamana visu siosilaha??.
Yote haya yanatokea kwasababu ya usanii wa rais tuliyenaye.Nyerere alituonya lakini hatumkusikiliza,wacha tuvune tulichopanda!