Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Kutokana na fikra finyu na watz wachache wajinga utakuta anaona raha askari wa nchi yake wanavyokufa ila kasahau kuwa kula anapokufa mlinzi wa nchi yake ndipo yeye anapozidi kuwa maskini maana amani haitakuwepo tena hivyo ile kauli aliyoitoa katibu mkuu wa UN kule ngoma DRC itaanza kufanya kazi "pasipo na amani hakuna maendeleo na pasipo na maendelleo hakuna amani "

Leo kafa askari ambaye si ndugu yako ila ni ndugu wa rafiki yako au baba wa mpenzi wako au ni jirani yako au kabila lako au wa dini yako kwa namna yoyote utakuwa na uhusiano naye tu unajisikia raha ila kumbuka kuwa kesho hao waalifu watalipua mahali wewe unapopategemea kuendeshea maisha yako au walipua ndugu yako wa damu ndiyo utaipata freshi yako.

Acha kukomenti siasa za chuki kwenye maisha ya watu maana utapoteza ndugu zako.Ni jukumu lako wewe Mtanzania kuilinda amani ya taifa lako. Mungu ibariki Tanzania
 
Lets be very careful what we sow because at the end we ll have harvest it.
 
Wameweza kuchukua silaha mikononi mwa polisic wakiwa hawana silaha??????? mbona naskia walikuwa na mapanga na visu inamana visu siosilaha??.

Sasa mtu mwenye panga na kisu akichukua bunduki, risasi na mabomu kutoka kituoni DOES IT MAKE SENSE eventhough unasema kisu na panga ni silahs!??😕
 
Ina maana polisi wetu wameishiwa mbinu za kupambana na maadui hadi kuporwa silaha na mabomu na watu wasio kuwa na silaha
 
Sasa mtu mwenye panga na kisu akichukua bunduki, risasi na mabomu kutoka kituoni DOES IT MAKE SENSE eventhough unasema kisu na panga ni silahs!??😕

It doesn't make sense, kama kulikuwa na mapigano kabla ya wahalifu kuvizia, kisu na bunduki it's quite deference things, mwenye kisu akitaka kumthibiti mwenye bunduki nilazma amvizie.

Kwahiyo katika kuvizia ndipo hutumia kisu kumdhuru au kumtishia, kwa hiyo kunamazingira ambayo ukiviziwa hatakama una silaha Kali vipi unaweza kudhurika na silaha ndogo tu. Kubali tu kwamba kisu ni silaha you won't be stupid.
 
Waislam bana! Si ajabu shule 10 za mwisho mtihani wa form4 ziko Tanga
 
Wataalam wa lugha tuambieni, huyu jamaa mwenyeji wa wapi? mchaga akiongea tunajua, mzaramo tunajua, mndengereko, muhaya, msukuma, mngoni, mujita, mkurya, mnyaturu, muha, na wengineo. Huyu atakuwa mwenyeji wa mkoa gani???????

Bila ya ubishi muongeaji either ni "msomali" au kutoka "unguja".....! Nawasilisha
 
Hii video ni ya kuipuuza ni kumpa popularity ya bure mpuuzi kama huyu, kuna kitu behind haya mambo kwanini yatokee kipindi hiki
 
Kwa hivyo tukitazama kwa umakini video hii imepigiwa maeneo ya pwani kwani unaweza kusikia upepo ukivuma ktk microphone na pia miwani aliyovaa jamaa inaakisi bahari ya buluu na mchanga wa ufukweni pwani.

Hivyo vyombo vya usalama vinaweza ku-''zero'' ni maeneo gani video hii imechukuliwa na ni jengo/nyumba gani iliyo mkabala kabisa na ufukwe wa pwani yenye madirisha yasiyopungua mawili huku ikiwa na chumba kikubwa kisicho samani (fenicha) nyingi kama inavyokuwa reflected na miwani ya huyu jamaa.

Pia uso wa huyu jamaa haujazibwa vya kutosha pia ana kijikovu usoni hivyo jamii inayomzunguka inaweza kumtambua hasa hasa majirani, waliosoma nae shule, wasomajiwa GlobalPulishers na watumiaji wa mitandao.


Aisee Salute mkuu. Umei analyze Video kama analyst kabisa.
 
Wataalam wa lugha tuambieni, huyu jamaa mwenyeji wa wapi? mchaga akiongea tunajua, mzaramo tunajua, mndengereko, muhaya, msukuma, mngoni, mujita, mkurya, mnyaturu, muha, na wengineo. Huyu atakuwa mwenyeji wa mkoa gani???????
Huyu ni mzanzibari ten mpemba na wala si mwenyeji wa Tanga kama anavyotaka kutuaminisha. Umri wake inaonekana ni kati ya miaka 35 na 40. Feature zingine amezitoa mdau hapo juuu. Vyombo vya dola vikifanya kazi yake atapatikana tu
 
Tunategemea vyombo vya dola vitafanikiwa kulisambaratisha kundi hili
 
Back
Top Bottom