Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

MwanaWA Ebrania

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
939
Reaction score
1,147
Maskani yake kubwa Pale Ubalozi Ostabay
NANI anamjua!? View attachment 2099645
DSC_0248.JPG
 
Kwahiyo uzalendo siku hizi ni kuvaa masago na kutembea barabarani?

Mimi naona huo ni uchizi. Wazalendo ni wale wanaotokwa jasho na kulipa kodi ambazo rais anawaambia mawaziri wake wazile kwa urefu wa kamba zao.

Huyo ni chizi tu kama machizi wengine.
Lkn anahudumiwa na nani, hili ndo swali langu
 
Afadhali yake kuliko wale askari wanaowaua raia kisha kugawana vilaki laki
 
Kwahiyo uzalendo siku hizi ni kuvaa masago na kutembea barabarani?

Mimi naona huo ni uchizi. Wazalendo ni wale wanaotokwa jasho na kulipa kodi ambazo rais anawaambia mawaziri wake wazile kwa urefu wa kamba zao.

Huyo ni chizi tu kama machizi wengine.
Kodi zetu watu wanazila kwa urefu wa kama zao
 
Back
Top Bottom