MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
- Thread starter
- #41
Unaweza kutusaidia fafanuzi sahihi kati ya Uzalendo na Uzwazwa[emoji2309]Tujifunze kutofautisha uzalendo na uzwazwa.
Tenganisha Sababu kuu zinazomfanya mtu kuwa mzalendo na Sababu zinazomfanya kuwa zwazwa