mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
fikiria kwa upana kuhusu umasikini katika engo zotr then jaribu kuona ikiwa jamaa anachomoka kwa ninachokisema.[emoji28] Umaskini ndo uliomdhamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fikiria kwa upana kuhusu umasikini katika engo zotr then jaribu kuona ikiwa jamaa anachomoka kwa ninachokisema.[emoji28] Umaskini ndo uliomdhamini
wewe nae ni yale tofauti nyakati tu.Kodi zetu watu wanazila kwa urefu wa kama zao
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Afadhali yake kuliko wale askari wanaowaua raia kisha kugawana vilaki laki
Duuh! [emoji23]Awamu ya tano ime asisi haya mambo naona yana endelea
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Chizi eti yupo up to date kwenye current affairs na mwandiko wake ni superb! Hii nchi watu hawaijui. Usione vyaelea……….
Kavaa majani ya migomba ya ndiziJamaa hana nguo au..?
Funguka mkuuKodi zetu watu wanazila kwa urefu wa kama zao
Ndo wanafanyaje hao tissHakika...
Me lengo langu nilitaka tujuzane tu[emoji120][emoji120]Huyo anajua anachokifanya na ww fanya unayoyajua mambo mengine achana nayo tu.
Haya eleza wewe unayejuaUsiropoke mambo usiyoyajua
Si ndio hangaya alisemaFunguka mkuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hiyo ni adhabu tu kapewa, adhabu ikiisha hautamuona hapo. Ni kama zile adhabu za kubeba bango limeandikwa speak english..
Kama nakuelewa mkuuTuna kawaida ya kudharau vitu tunavyoamini ni vya KIJINGAJINGA.tunasahau mambo ya ajabu huanzia ujingani.
Hicho kitu si cha kawaida kwa namna yeyote ila watu hawatakuelewa. Dunia huendeshwa kwa mifumo ambayo ukiitazama kwa Juu juu huwa ya hovyo.Kama nakuelewa mkuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28]wewe nae ni yale tofauti nyakati tu.
huna tofauti na yule wa darasa la ulaghai.
Mh! [emoji2309]fikiria kwa upana kuhusu umasikini katika engo zotr then jaribu kuona ikiwa jamaa anachomoka kwa ninachokisema.