Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
MkuuUsikubali. Hili suala la kuamini eti vichaa ni mawakala wa intelijensia imepitwa na wakati na haina ukweli wowote. HHuyu ni mjanja anayekula fedha za wapita njia wajinga wajinga tu. Ni mbinu ya kuomba na anaishi kama omba omba wengine wanavyoishi. Kuna wajinga wengi sana wakiona watu wanaosifia watawala huwapa vizawadi. Sehemu alizotega mingo ni sehemu wanazopita watawala.
Kiatu hupita ama hupitishwa kila konaninayoweza kukanyaga
Mkuu usipuuze kiatu