Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

Huyo ni kichaa tu.

Kuwa mzalendo sio kufaa majani. Na kushika mabango mtaani.

Atafute shughuli ya kumwingizis kipato asaidie uchumi wa nchi huo ndio uzalendo.

Apinge maovu ya watawala na raia wa kawaida huo ndio uzalendo.

Ailinde nchi dhidi ya uvamizi na ukwapuaji wa rasilimali zetu toka kwa wageni. Huo ndio uzalendo.

Avae nguo safi na aoge kwa afya yake,. Kuvaa majani ya migomba na kushika mabango hakumfanyi aonekane mzalendo Bali kama mtu fyuzi zake zimelegea kidogo japo anaweza kua na utimamu kiasi.
 
Back
Top Bottom