MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
- Thread starter
-
- #41
Unaweza kutusaidia fafanuzi sahihi kati ya Uzalendo na Uzwazwa[emoji2309]Tujifunze kutofautisha uzalendo na uzwazwa.
Daaah [emoji848]Awamu ya tano ime asisi haya mambo naona yana endelea
Tupe siri mkuu[emoji120]Chizi eti yupo up to date kwenye current affairs na mwandiko wake ni superb! Hii nchi watu hawaijui. Usione vyaelea……….
Kumbe hapo jamaa anakula Kodi zetu sioKodi zetu watu wanazila kwa urefu wa kama zao
Wewe una hakika ganiUsiropoke mambo usiyoyajua
Mh[emoji848]Wewe una hakika gani
Kama sio TISS
hadi unacomment bila staha
Imekuuma Meza panadol
Labda tumuulize Diego Armando Maradona wa MtamaMaskani yake kubwa Pale Ubalozi Ostabay
NANI anamjua!? View attachment 2099645View attachment 2099646
Wewe una hakika gani
Kama sio TISS
hadi unacomment bila staha
Imekuuma Meza panadol
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda tumuulize Diego Armando Maradona wa Mtama
Lkn hapa Anafanya hamasa Kwa jamiiTukiwakataza matumiz ya. Bangi mnatujia juu
Hayo ndio madhara yake
Mzazi unamzaa mtoto Kisha unamona anafanya ujinga huu Kama wa nuhu mziwanda
[emoji3][emoji3]Kama tiss imefikia huku bas taifa tuna Kaz kubwa mbeleni
Labda Kuna mpumbavu zaidi yake anamdhamini.Anadhaminiwa na nani?
Usilete nadharia za vijiweni hapa. Kuna aina nyingi sana za ukichaa. Kuandika mwandiko mzuri hakumaanishi mtu siyo kichaa. Hata kujua mambo yanayoendelea hakumaanishi kuwa mtu siyo kichaa. Kuna vichaa wanaojua current affairs kuliko watu wenye akili timamu.Chizi eti yupo up to date kwenye current affairs na mwandiko wake ni superb! Hii nchi watu hawaijui. Usione vyaelea……….
Usikubali. Hili suala la kuamini eti vichaa ni mawakala wa intelijensia imepitwa na wakati na haina ukweli wowote. HHuyu ni mjanja anayekula fedha za wapita njia wajinga wajinga tu. Ni mbinu ya kuomba na anaishi kama omba omba wengine wanavyoishi. Kuna wajinga wengi sana wakiona watu wanaosifia watawala huwapa vizawadi. Sehemu alizotega mingo ni sehemu wanazopita watawala.Lengo Lao hao tiss ni nini?
Maskani yake kubwa Pale Ubalozi Ostabay
NANI anamjua!? View attachment 2099645View attachment 2099646
hamasa ganiLkn hapa Anafanya hamasa Kwa jamii