Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

Mkuu
Kiatu hupita ama hupitishwa kila konaninayoweza kukanyaga

Mkuu usipuuze kiatu
 
Huyu mama yenu habebeki. So pathetic. Mpaka kwenye mpira wa miguu yanatembezwa mabango. Mwenyewe anajua kuwa hatoshi
 
Ningekuwa na wadhifa wa kukupongeza ningefanya hivyo haraka sana
 
Huyu mama yenu habebeki. So pathetic. Mpaka kwenye mpira wa miguu yanatembezwa mabango. Mwenyewe anajua kuwa hatoshi
Mh! Kwa nini hasitoshe
Wakati Anafanya mambo mengi makubwa na mazuri
Ikiwemo kukamilisha miladi mikubwa aliyeanzisha mwenda zake

Lkn pia Mama ametutoa sehemu ambayo ilikuwa ngumu sana
Tunapaswa kumshukuru Mungu Kwa uwepo wa awamu ya 6
 
Hapo kuna ukweli [emoji120]
 
Inawezekana akawa ni kichaa kweli
Lkn hapo anahudumiwa na nani!??? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…