Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

Uliposema msafisha viatu kashusha nondo nikajua ni yule wa pale nje ya Wizara ya Ardhi maana naye ni walawale. Lakini sasa pale hakuna juice ya miwa wala barafu, na hata hizo unazoziita nondo nazo, dah!!!🙆‍♂️
 

sijaelewa
 
IQ yako ina matatizo lazima ni below 65
 
Mleta mada kweli wewe mbumbumbu! yaani mambo ya vijiwe vya kahawa unachukulia kama mada?
Umekutana na m'bwia ugoro mwenzio halafu pumba za ugoro unaleta humu! Shame!
 
Miezi hii mitatu,mtatunga story nyingi sana za shoe shine,wauza kahawa,machinga,wabeba mizigo n.k.
Kutoka chama kilichokufa mpaka chama kinachofunguliwa nyuzi kila dakika. Ufu wa CHADEMA uko wapi?
Kati ya CHADEMA na CCM ya wajenga hoja kipropaganda,kipi kimekufa?
 
So na wewe ukaamini Systeam Ndo iliyomrudisha Lissu......

Ujinga wa kwenye Vijiwe vya Kahawa huu......
Kwenye Vijiwe vya Kahawa mtu anaweza kuleta story ya kile Magufuri alichomwambia Mke wake Kitandani usiku, na Watu Wazima Wakaa kusikiliza...

Kama si upumbavu kitu gani.... The
 
MUOSHA VIATU na wewe mleta mada....nna hakika mnafanana jinsia........masaa 2 unasikiliza upumbavu....na juisi ya migagi.....then unaubeba na kutuletea GREAT THINKER........uwe na adabu wakati mwingine......
 
Kwani hiyo mikopo ya Tri 40 kapewa na nani?
Mbona mnashindwa kuelewa vitu rahisi namna hiyo wakubwa!!
ewe kichwa maji mwenye upeo finyu nakuamulu TOKA kunisumbua

kwaiyo unabisha kuwa jiwe ajapigia goti mabeberu au ?

hizo trillion 40 wap uliziona una ushahidi ?
 
Ndiyo maana anasafisha viatu vya watu,huku yeye akiwa amevaa malapa yaliyochanika.
 
NB: Habari imekatikakatika maana lakini wenye uelewa hawatopata shida
Muosha viatu ni wewe mwenyewe na haya ni maneno yako. Umetumia uhuru wako wa kutoa maoni na kujieleza sawa. Ile sisi tunamtaka TUNDU LISSU period.
 
MUOSHA VIATU na wewe mleta mada....nna hakika mnafanana jinsia........masaa 2 unasikiliza upumbavu....na juisi ya migagi.....then unaubeba na kutuletea GREAT THINKER........uwe na adabu wakati mwingine......
 
Hadithi yako ni nzuri .... ukiendelea hivi kuna siku unaweza kuandika vitabu kama Shigongo ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…